Utalii ukishuka kwa asilimia 20-30 nchi haitaweza kulipa Madeni, CCM mshinikizeni Samia aachie Madaraka

Utalii ukishuka kwa asilimia 20-30 nchi haitaweza kulipa Madeni, CCM mshinikizeni Samia aachie Madaraka

Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.

Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa hatarini.

Kwenu CCM hatua ya awali kujiokoa ni kumshinikiza Samia aachie kiti kwa maslahi ya taifa
Kwa mtindo huu mtasubiri sana.
But 2030 sio mbali ataondoka
 
CCM wote wako controlled na Samia, ki ufupi, CCM wote Samia anawazidi akili, hawana huo uwezo wa kumshnikiza aachie madaraka. Wao wenyewe hawamtaki ila ndo hvyo hawana janja wanapelekwa pelekwa tu, wapo tayal hata wakipelekwa kwenye shimo ni sawa tu.
CDM ndo mnapelekwapelekwa tu na huyu Mama. Kama mnabisha mtoeni basi
 
Back
Top Bottom