Utalii ukishuka kwa asilimia 20-30 nchi haitaweza kulipa Madeni, CCM mshinikizeni Samia aachie Madaraka

Sisiemu hakuna mwenye akili, hawawezi kukuelewa.
 
😎 wanajitekenya na kucheka
 
Kwa mtindo huu mtasubiri sana.
But 2030 sio mbali ataondoka
 
CCM wote wako controlled na Samia, ki ufupi, CCM wote Samia anawazidi akili, hawana huo uwezo wa kumshnikiza aachie madaraka. Wao wenyewe hawamtaki ila ndo hvyo hawana janja wanapelekwa pelekwa tu, wapo tayal hata wakipelekwa kwenye shimo ni sawa tu.
CDM ndo mnapelekwapelekwa tu na huyu Mama. Kama mnabisha mtoeni basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…