Utalii wa Kenya taabani kufuatia mzozo na Tanzania, Wawejezaji wamuomba Uhuru Kenyatta kumpigia magoti Magufuli

Mbn unawapa siri hawa mapimbi? Wacha corona iwafyeke kwa ujinga wao ili wapelekewe chanjo ya mzungu iwauwe kizazi na kende zao.
 
Tatizo kila mkipimwa kwa nchi yoyote jirani mnakutwa nacho, ndio maana Uganda kaweka jeshi kabisa mpakani.
Yaani hapa tukija kuwaachia tutajuta sana balaa.
Uganda anawanyanyasa na kuwabaka ninyi Wakenya hatothubutu kumgusa baba yake mTz.
 
Sawa Mkuu endeleeni kupiga fedha za MABEBERU sie huku hakuna lock down wala baba yake lock down tunapiga kazi mwanzo mwenga.
 
Hao Uganda tuliowasaidia kumwondoa idi amini huku museveni akiwa mkimbizi ndio unafikiri wana ubavu wa kutuwekea wanajeshi

Kwanza kunao wana hasira sana ya Amin kuondolewa, maana huwa wanahisi ndio nchi yao ilikwama na kuganda baada ya hapo.
Hata hivyo hizo ni history, kizazi cha leo kwa waliozaliwa baada ya 1980 wengi hamjui Idd Amin na hawana muda na lelemama stories, ukiingia kwao lazima upimwe corona hata kama ulihusika kwenye vita vya Kagera lazima upimwe.

Na ndivyo ilivyo kwa Kenya, kila anayetokea Tanzania lazima apimwe hamna nini wala nini, kwanza sisi hatujazuia ndege zenu maana hizo mlizonunua kwa kujitesa hazijawahi kutupea tatizo lolote, siku zote mnazipigisha ruti za daladala huko, kitu ambacho tumekazania na hatutaachia ni hilo la kupimwa, uking'ang'ania unataka kuingia Kenya lazima upimwe.
 
Sawa Mkuu endeleeni kupiga fedha za MABEBERU sie huku hakuna lock down wala baba yake lock down tunapiga kazi mwanzo mwenga.

Kama hela zipo freshi, waambiwe wazitume ila Mtz huku lazima tumpime, apanue mdomo tutumbukize kifaa cha kupima, yaani hilo wala hatuna chuki au mawazo yoyote mabaya dhidi ya Watanzania au Tanzania, ila tu ukija kubali masharti ya kupimwa, mbona tutaendana freshi tu.
 
Endeleeni kuwatumikia mabeberu na corona zenu. Sisi huku tulishasahau msamiati Corona
 
Wakiendelea tunawarudisha wakenya wanaofanya kazi TZ na tunafunga kampuni zao. Hatupangiwiiii
 
Hee kumbe wenzetu mnapanuliwa midomo. Duh....Wakenya kweli si ridhiki
 
Wacha hizo hivi kuna utalii sasa hivi ?
Dunia bado haijatulia na kenya haitegemei utalii wa Tanzania bali Kenya inapitisha watalii wengi Tanzania na Zanzibar.
Lakini kwa sasa hakuna utalii ni vipicha vya kigwangala kujifurahisha.
Kuwekeana ngumu hakusaidii yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe idd amin humjui na taifa lako lilikuwa likimwogopa sana kila mara akitishia kuwatwanga Tanzania ilikuwa taifa pekee kidume lililompiga hadi akakimbia nchi yake nitajie taifa jingine lililofanya hivyo ndio maana Ethiopia anawafanyoa ubabe mataifa mengine wanaikua Tanzania sio ya kuchezewa
 
Hawa hapa Nyang'au wameanza kujipendekeza..







MY TAKE
Trick za kitoto sana...Our demands r pretty simple!
  1. No Air tanzania to Kenya's Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kisumu no any airline from Kunyaland to be allowed to land in Tanzania!
  2. No free movement of tanzanians in Kunyaland no any airline from Kunyaland is to be allowed to land in Tanzania


nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 

Idd Amin simjui nje ya kusoma kumhusu, hata Nyerere huwa namskia tu, japo nachokijua wote hao wamezikwa kwenye vitabu vya historia watoto wasome kuwahusu, namna Tanzania kwa kiherehere walikua wanapenda kuingilia ugomvi kwenye nchi za watu, kwa mfano huyo Museveni na wanajeshi wake walipewa hifadhi Tanzania na kupanga mashambulizi dhidi ya Amin.
Hata hivyo leo hii tuna changamoto za kisasa, Mtanzania ukithubutu kuingia Uganda au Kenya au kwa majirani zenu wote lazima upanue mdomo upimwe hata kama ulishiriki kwenye vita vya Kagera.
 
Huwezi kuwajua kwa sababu historia yenu mnafundishwa zaidi kumjua malkia kuliko asili yenu
 

Pia Dua na Rais kuwatoa hofu wananchi wenzake.
 
Huwezi kuwajua kwa sababu historia yenu mnafundishwa zaidi kumjua malkia kuliko asili yenu

Hata huyo malkia simjui, huwa nasoma tu kumhusu, watu wa Buza mnamfahamu IDD Amin, wow hongereni.
 
Nani katubabaisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…