Ni kweli mkuu hata kwenye kuomba omba chakula huko Duniani mnaongoza pia kwa E/Africa na kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ile misaada ya chakula mnayopewa nayo mnanunua auu mda utafika tutakupeni misosi bure af tutawaoa wehu nyieHaina haja wakati punda Kama nyinyi mnatufanyia kazi. Sisi yetu Ni kununua tuwanusuru wakulima wenu kutoka u amasikini.
Tunawashindaje wakati kenya ina asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye umasikini.
Kawadanganye wajinga wenzako huko.
Ni kweli nyie ni wajinga maana wajinga hubaguana kisa makabila.A Tanzanian calling others wajinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wonders shall never cease.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshiba makande/Gideri ya Mrusi/Russia sasa mnatoa mishuzi mmeamua kuandika vijitaarifa vya kudanganya, Wakenya kwa kujifanya mkoo mbali ilihali mnahali mbaya ya maisha, hao unaowasema wamejaza vyumba Mombasa si ndo mnaowapigia kelele kuwa mafisadi ngoja wazipige pesa mtakuja kustuka chungu kimeishaSafi sana kwa kweli, tuendelee kwa mwendo huo huo....
Hotels, apartments and other tourist establishments in Mombasa and other Coastal areas have recorded 100 per cent bookings.
This follows an upsurge of domestic and international visitors during the December holidays.
Thousands of ecstatic local and international visitors thronged various hotels and tourist establishments in Mombasa and other coastal areas to celebrate the Christmas holiday season.
Events such as water sports, football, camel riding, family dinners, traditional dances and live bands were organised by hotels to entertain holidaymakers.
A spot check by Kenya News Agency on Thursday found that most of the hotels and apartments are fully booked with local visitors taking the lionβs share.
Apart from hotels, other tourist related business such as transport, food vendors and beach operators are enjoying good business during this festive season.
Those interviewed were delighted that Kenyans have now embraced domestic tourism since the numbers of local visitors have increased significantly.
Hundreds of local and international tourists also visited the refurbished Mama Ngina Drive Waterfront.
The seafront project adjacent to Likoni ferry entails a public square, two iconic gateways, a Swahili cultural centre, amphitheater, modern kiosks, restaurants and parking areas among other facilities.
The Sh460 million waterfront facility, a joint venture between the national government and county government of Mombasa has elicited excitement within the tourism sector and is now regarded as a game changer.
Mama Ngina Drive Waterfront, a modern public recreational facility, has transformed the Park to international standard and repositioned Mombasa as a top tourist destination in the region.
The project is an added product to the tourism sector as the country already offers a multifaceted holiday destination combining exotic beaches, national parks and historical sites.
Hoteliers have expressed their satisfaction with the significant increase of domestic visitors, which they attributed to aggressive marketing, friendly packages and the introduction of the Standard Gauge Railway (SGR).
Mombasa, Malindi and Watamu in Kilifi County together with Diani in Kwale County are the preferred holiday destinations for many Kenyans and foreign visitors arriving to savour its beautiful sandy beaches stretched out from the South to the North coast and tropical ambience.
The Marketing Manager of Travelers Beach Hotel and Club Wafula Waswa said the players in the hospitality industry were encouraged to see Kenyans embracing domestic tourism, adding that his hotel registered 100 percent bed occupancy during this festive season.
βWe have introduced special packages for Kenyans to encourage them to enjoy affordable holiday retreats,β said a visibly delighted Waswa.
He added that players in the hospitality industry should put more effort towards the promotion of domestic tourism, which he said has kept most hotels afloat following the declining of international visitors.
βDomestic visitors have proved crucial and have the potential to sustain this fragile but lucrative industry,β said Waswa.
In Kilifi County, hotels in Malindi and Watamu are enjoying brisk business with most of the establishments recording 100 percent bed occupancy.
The Plan Hotels International General Manager Alexander Zissimatos said the industry was enjoying good business and that most of the hotels are fully booked during the festive season.
βWe are extremely busy and encouraged by the impressive numbers of local and international visitors,β said Zissimatos.
He commended Kenyans for taking advantage of the special packages offered by hotels saying Malindi has always been a preferred holiday destination for local visitors.
The sector that recently witnessed a serious decline due to political tension and security related issues is now showing signs of steady improvement with more players investing in hotels and apartments.
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Hamjawahi tupatia bure tunanunua kwa pesa zetu ili twakamue wakulima wenu wasife maskini. Kenya ishawahi wapatia msaada Tz ama unapinga nikuwekee linkNa ile misaada ya chakula mnayopewa nayo mnanunua auu mda utafika tutakupeni misosi bure af tutawaoa wehu nyie
Jamaa flani hivi anaitwa Geza Ulole. Wewe unaona kama ni jambo la kawaida mtu kumwaga povu kwa zaidi ya muongo mmoja? Alafu huwa anaingia Jf na account tofauti tofauti, kisha anajadili na kuunga mkono hoja zake yeye mwenyewe. Hadi anajipa like! That nigga be loco. [emoji38]Nani dish limeyumba?
Haina haja wakati punda Kama nyinyi mnatufanyia kazi. Sisi yetu Ni kununua tuwanusuru wakulima wenu kutoka u amasikini.
Watanzania Ni masikini wa kutupwa hawawezi kutalii Nchi Yao. Mambo ya utalii Tz wawachieni Wazungu na Wakenya.
In Tanzania 40.9% live in poverty while in Kenya only 16%.Tunawashindaje wakati kenya ina asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye umasikini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa flani hivi anaitwa Geza Ulole. Wewe unaona kama ni jambo la kawaida kwa mtu kumwaga povu kwa zaidi ya muongo mmoja? Alafu huwa anaingia Jf na account tofauti tofauti, kisha anajadili na kuunga mkono hoja zake yeye mwenyewe. Hadi anajipa like! That nigga be loco. [emoji38]
Kijeshi hapana mzee, al shabab watatu tu waliikalisha kenya siku tatu na wakashindwa kuwaua na kuishia kuiba mikateHaiondoi ukweli kwamba sisi sio LDC, na kwamba tunatawala mataifa yote kiuchumi, kijeshi, kielimu, demokrasia na kwamba nyie wote hakuna anayekaribia wala kunusia level yetu. Yeah! Kainchi ketu zaid ya nusu ni jangwa tupu, hivyo kuna maeneo huwa kame kupitiliza na hayalimiki, lakini kwa yote hayo tutazidi kuwashinda nyie wenye nchi kubwa yenye madini na rotuba kila mahali.
Nikupe siri??? Jitume.....acha uzembe jitume....hehehehe
Endelea kujifariji πππHehe he acha niongeze chumvi kwa kidonda[emoji23][emoji23]In Tanzania 40.9% live in poverty while in Kenya only 16%.View attachment 1304904View attachment 1304905
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania Ni masikini wa kutupwa hawawezi kutalii Nchi Yao. Mambo ya utalii Tz wawachieni Wazungu na Wakenya.
Tanzania is the poverty capital of East Africa. Even Somalia is richer than you.Endelea kujifariji [emoji23][emoji23][emoji23]
More than just growth: Accelerating poverty reduction in Kenya
Kenya has been covered widely in economic news over the last decade, from the first large-scale application of mobile money to a vibrant technology hub in Africa. Indeed, Kenya experienced robust economic growth from 2005-06 to 2015-16, growing at an average annual rate of 5.3%, higher than the...blogs.worldbank.org
According to you,Tanzania is the poverty capital of East Africa. Even Somalia is richer than you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania 40%. This is December 2019, Kenya ni 16%According to you,
More than just growth: Accelerating poverty reduction in Kenya
Kenya has been covered widely in economic news over the last decade, from the first large-scale application of mobile money to a vibrant technology hub in Africa. Indeed, Kenya experienced robust economic growth from 2005-06 to 2015-16, growing at an average annual rate of 5.3%, higher than the...blogs.worldbank.org
World Bank na wewe nani ana akili πππTanzania 40%. This is December 2019, Kenya ni 16%View attachment 1304940
Sent using Jamii Forums mobile app