Utalii wa ndani, Wakenya wafurika Pwani na kusababisha hoteli zote kujaa, hamna nafasi

Utalii wa ndani, Wakenya wafurika Pwani na kusababisha hoteli zote kujaa, hamna nafasi

World Bank na wewe nani ana akili [emoji23][emoji23][emoji23]




Tanzania 40%,
Kenya 16%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona baada ya kushiba msaada wa chakula kutoka kwa Russia mmeona mkapumzike.

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu....acha tuwasaidie tu hawa watu wajifariji na kujipa matumaini, maana kila uchao ni kucopy mambo ya Tanzania na ku-claim kuwa yapo kenya...... msongo wa mawazo wa kulipa deni kwa mchina unawapa stress sana hawa majirani zetu

*Haya tuseme hivi pia......TRC ipo kenya maana naona SGR Kenya with a moving club yawa kivutio kwa wasafiri mombasa*




?! Usipoteze muda kubishana na mpumbavua anaejua hajui lakina anajifanya kujua.
 
Back
Top Bottom