Utalii wa ndani, Wakenya wafurika Pwani na kusababisha hoteli zote kujaa, hamna nafasi

Utalii wa ndani, Wakenya wafurika Pwani na kusababisha hoteli zote kujaa, hamna nafasi

Hivi unasoma hizi taarifa kabla ya kuzipost? Naona hapo kwenye hiyo link WB wanaisifu Kenya kwa kupunguza umasikini. Wala hamna sehemu yeyote ambapo wameitaja Tz. Kiingereza ndio kinakutatiza au ni ukichwa boga tu wa kawaida?

kenya
This growth translated into gains in the fight to reduce poverty, with about 4.5 million Kenyans escaping poverty. Poverty measured under the national poverty line declined from 46.8% to 36.1% of the population. However, a closer look shows that not every segment of the population benefited from this impressive growth.


Tanzania
During the past decade, Tanzania recorded sustained economic growth and a persistent decline in poverty, according to a new World Bank poverty analysis.

The 2019 Tanzania Mainland Poverty Assessment notes that poverty decreased by eight percentage points in 10 years, down from 34.4% in 2007 to 26.4% in 2018.

Zote hizi nimetoa website ya world bank.
 
Acha uongo mjinga wewe yaani hujatoka hata Mombasa kutokana na ugumu wa maisha alafu unakuja kuongopea watu humu,
Niko Arusha muda huu nimekuja kula sikuu na hicho ulichoandika hapo hakipo.
Kha!!hata sitobishana kwel..
Yani unasema mimi kw sasa nipo mombasa kisa wewe eti ulishindwa kutafuta mahala pa kwenda ukajivinjari...

Sasawa we endelea ku judge tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa wanapafunika Arusha...

Halafu kuna kipindi nilikaa Arusha siku kadhaa nikashangaa Wakenya wengi wamewekeza sana kwenye biashara za vilabu.
Ukitaka kuziskia gene tone basi ni arusha, asikudanganye mtu...kuna mda mpaka una fikiria uko nairobi, jamaa wa arusha wengi wanaiga style za jiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kenya This growth translated into gains in the fight to reduce poverty, with about 4.5 million Kenyans escaping poverty. Poverty measured under the national poverty line declined from 46.8% to 36.1% of the population. However, a closer look shows that not every segment of the population benefited from this impressive growth.Tanzania
During the past decade, Tanzania recorded sustained economic growth and a persistent decline in poverty, according to a new World Bank poverty analysis.The 2019 Tanzania Mainland Poverty Assessment notes that poverty decreased by eight percentage points in 10 years, down from 34.4% in 2007 to 26.4% in 2018.Zote hizi nimetoa website ya world bank.
Yaani hujaona kwamba takwimu za Kenya ni za 2015-16? Wewe jamaa bana.
 
Za mwaka jana iko wapi?
Maana ya mwaka 2018 Tanzania ni 26.4%
Hilo swali ungejiuliza wewe uliyeleta hoja ya kulinganisha takwimu za Kenya 2005/06-2015/16 na za Tz 2018/19. Au urudi shuleni tu, ukafunzwe upya.
 
Hehehe!! Mbona huu msaada kwa ajili ya maeneo kame imewauma hivi, yaani ningekua na uwezo ningewaomba wachomekee pizza na burger humo ndio mlie lie zaidi.
Anyway hapa ni raha tu, siku tani hizi Wakenya nchi yote ni mwendo wa raha, hoteli kote zimefurika.

Poleni kwa mafuriko ya Kisumu
 
Hilo swali ungejiuliza wewe uliyeleta hoja ya kulinganisha takwimu za Kenya 2005/06-2015/16 na za Tz 2018/19. Au urudi shuleni tu, ukafunzwe upya.
Ukiona Wanatumia data zile zile itakuwa umasikini upo pale pale haujapungua😂😂😂
 
Ukiona Wanatumia data zile zile itakuwa umasikini upo pale pale haujapungua
Ukija na hoja au takwimu zako za kiboya kwenye jukwaa hili lazima utaumbuliwa tu. Umeangukia pua, jipange upya kisha ujaribu tena.
 
Ukija na hoja au takwimu zako za kiboya kwenye jukwaa hili lazima utaumbuliwa tu. Umeangukia pua, jipange upya kisha ujaribu tena.
Nani aumbuliwe,
Kwa sababu data za 2018 hazipo basi zinatumika hizi hizi 36.1% hadi waziupdate,
Hiyo article ni ya mwaka huu tena umasikini wenu inaonesha unapungua taratibu kwa mwaka mtakuwa kwenye 30% bado.
 
Nani aumbuliwe,
Kwa sababu data za 2018 hazipo basi zinatumika hizi hizi 36.1% hadi waziupdate,
Hiyo article ni ya mwaka huu tena umasikini wenu inaonesha unapungua taratibu kwa mwaka mtakuwa kwenye 30% bado.
Naona dish limeanza kuyumba yumba. Sawa basi, nimekuelewa sina la ziada.
 
Back
Top Bottom