Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU KUWA SERIOUS BASI 😎Nimepokea reply email yao baada ya kuomba miezi 3 iliyopita wanasema niko peke yangu Afrika.
Hapa nakula mayai tu na urojo, asali mbichi, kujiweka sawa kwa kuingiza sauti.
Link nitaiweka hapa, punde
Mkuu hawajataja umri, which is nna uhakika itakuwa kwa range ya 18 labda mpk 25. Wazee sidhani kama tutatoboa katika hili. Also sauti nazo zaishaanza kukwaruza nani atataka kuzisikia 🤣Dollar 200,000 Kwa gharama ya leo 1$ ni TShs. 2,658.92
200,000 x 2,658.92=531.7M
Hizo ni hela nyingi sana Kwa kuweka sauti na Sura yangu Kwa robot
Wailete Afrika hiyo offer tuichangamkie
😁😁😁Mkuu hawajataja umri, which is nna uhakika itakuwa kwa range ya 18 labda mpk 25. Wazee sidhani kama tutatoboa katika hili. Also sauti nazo zaishaanza kukwaruza nani atataka kuzisikia 🤣
Wanataka roboti awe muafrika, mchina, mhindi au mzungu wa ulaya?Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti
View attachment 3269174
Kampuni ya kuunda Maroboti toka Russia Prompt imeweza kutoa ofa ya Dola $200,000 kwa mtu Yeyote anayetaka kuchukua sura yake apewe Roboti pamoja na sauti kwa ujumla.
Roboti huyo ataweza kuwa na hati miliki kamili kuanzia sura na sauti yako ambayo itaweza kutumiwa Maeneo ya hotelini, migahawani, hospitali na Maeneo mengine ya umma.
Kampuni hiyo imesema Tayari imeshapokea zaidi ya maombi ya watu 20,000 ambapo wanasema wameshangazwa muitikio wa watu umekua mkubwa hawakutegemea kabisa. Mchakato mzima wa kuunda Roboti kwenye muundo wa 3D ambapo ataweza kufanana kama alivyo mwanadamu.
View attachment 3269176
Endapo utachaguliwa kuweka sauti yako kwa Roboti basi utaweza kurekodi sauti yako ndani ya masaa 100 ya hotuba ili kuweza kutoa sauti kamili na taarifa nyingi ili Roboti aweze kuzungumza vyakutosha kampuni hiyo ilisema.
Kwa sasa matumizi ya Roboti kwa nchi za ulaya yamekua makubwa kwani zinatumika mahali tofauti unaweza safiri kwenye usafiri wowote wa umma ukapanda na Roboti kwenye nyumba za kuishi, mikusanyiko nk.
Naona umeamua kuniondoa kijanja kwenye shindano Babu yenu 🤗Mkuu hawajataja umri, which is nna uhakika itakuwa kwa range ya 18 labda mpk 25. Wazee sidhani kama tutatoboa katika hili. Also sauti nazo zaishaanza kukwaruza nani atataka kuzisikia 🤣
Maombi tunatuma wapi, nauliza kwa niaba ya Mume wangu 🤣🤣Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti
View attachment 3269174
Kampuni ya kuunda Maroboti toka Russia Prompt imeweza kutoa ofa ya Dola $200,000 kwa mtu Yeyote anayetaka kuchukua sura yake apewe Roboti pamoja na sauti kwa ujumla.
Roboti huyo ataweza kuwa na hati miliki kamili kuanzia sura na sauti yako ambayo itaweza kutumiwa Maeneo ya hotelini, migahawani, hospitali na Maeneo mengine ya umma.
Kampuni hiyo imesema Tayari imeshapokea zaidi ya maombi ya watu 20,000 ambapo wanasema wameshangazwa muitikio wa watu umekua mkubwa hawakutegemea kabisa. Mchakato mzima wa kuunda Roboti kwenye muundo wa 3D ambapo ataweza kufanana kama alivyo mwanadamu.
View attachment 3269176
Endapo utachaguliwa kuweka sauti yako kwa Roboti basi utaweza kurekodi sauti yako ndani ya masaa 100 ya hotuba ili kuweza kutoa sauti kamili na taarifa nyingi ili Roboti aweze kuzungumza vyakutosha kampuni hiyo ilisema.
Kwa sasa matumizi ya Roboti kwa nchi za ulaya yamekua makubwa kwani zinatumika mahali tofauti unaweza safiri kwenye usafiri wowote wa umma ukapanda na Roboti kwenye nyumba za kuishi, mikusanyiko nk.
Umewaza mbali sana Mkuuthat is not a problem the issue is what if your twin robot will do any violence..?
can't that be a problem to you because all police they'll be after you..! hizo dollar zitageuka shubiri..🤣
halafu ukute likisha baka kesi ikija wanaliondolea uume wanasema walilitengeneza bila uume hapo ndo utajua cha mtu ni nnya🤣Umewaza mbali sana Mkuu
Imagine robot linaenda kubaka Wanawake, then kesi inakujia wewe waliyechukua sura yako 🙌
Mwisho wa Siku utaenda gerezani kama akina PDiddy na RKelly😜
Hatari 😅😅😅🙌halafu ukute likisha baka kesi ikija wanaliondolea uume wanasema walilitengeneza bila uume hapo ndo utajua cha mtu ni nnya🤣