Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti

Nimepokea reply email yao baada ya kuomba miezi 3 iliyopita wanasema niko peke yangu Afrika.
Hapa nakula mayai tu na urojo, asali mbichi, kujiweka sawa kwa kuingiza sauti.

Link nitaiweka hapa, punde
MKUU KUWA SERIOUS BASI 😎
 
Dollar 200,000 Kwa gharama ya leo 1$ ni TShs. 2,658.92

200,000 x 2,658.92=531.7M

Hizo ni hela nyingi sana Kwa kuweka sauti na Sura yangu Kwa robot

Wailete Afrika hiyo offer tuichangamkie
Mkuu hawajataja umri, which is nna uhakika itakuwa kwa range ya 18 labda mpk 25. Wazee sidhani kama tutatoboa katika hili. Also sauti nazo zaishaanza kukwaruza nani atataka kuzisikia 🤣
 
Mkuu hawajataja umri, which is nna uhakika itakuwa kwa range ya 18 labda mpk 25. Wazee sidhani kama tutatoboa katika hili. Also sauti nazo zaishaanza kukwaruza nani atataka kuzisikia 🤣
😁😁😁
Sauti si unaimodoa tu.
 
Wanataka roboti awe muafrika, mchina, mhindi au mzungu wa ulaya?
 
vp naruhusiwa kwenda na tuchalii twangu,...?🤔
 
Ukishatoa hiyo sura na sauti wewe unabaki na nini? Au wanacopy tu vitu hivyo halafu unabaki kama ulivyo? Tueleze yatokanayo
 
Mkuu hawajataja umri, which is nna uhakika itakuwa kwa range ya 18 labda mpk 25. Wazee sidhani kama tutatoboa katika hili. Also sauti nazo zaishaanza kukwaruza nani atataka kuzisikia 🤣
Naona umeamua kuniondoa kijanja kwenye shindano Babu yenu 🤗

Sisi Generation A hatuna chetu kwenye shindano 😜
 
Maombi tunatuma wapi, nauliza kwa niaba ya Mume wangu 🤣🤣
 
that is not a problem the issue is what if your twin robot will do any violence..?
can't that be a problem to you because all police they'll be after you..! hizo dollar zitageuka shubiri..🤣
Umewaza mbali sana Mkuu

Imagine robot linaenda kubaka Wanawake, then kesi inakujia wewe waliyechukua sura yako 🙌

Mwisho wa Siku utaenda gerezani kama akina PDiddy na RKelly😜
 
Umewaza mbali sana Mkuu

Imagine robot linaenda kubaka Wanawake, then kesi inakujia wewe waliyechukua sura yako 🙌

Mwisho wa Siku utaenda gerezani kama akina PDiddy na RKelly😜
halafu ukute likisha baka kesi ikija wanaliondolea uume wanasema walilitengeneza bila uume hapo ndo utajua cha mtu ni nnya🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…