Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Hivi ni mimi tu naona haya au

Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda

Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi

Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro

Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
 
Maji mazuri ni ya kuchemsha mwenyewe, kunywa maji ya chupa ni arrogance ya elite class wage earners.
 
Back
Top Bottom