Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Nimewaza hapa pia, imagine hii chumvi ya maji ya Makao Makuu ambayo haishiki hata sabuni ya unga, jug ukilichemshia maji ya kuoga siku 3 tu hujaliosha unakuta chumvi imenasa chini, ndoo na majaba ndiyo usiseme,Haya maji ya Awsa yaliojaa chumvi ndio tuchemshe 😅
Bado boda ujampa pesa ya usafir kwa mwenzi katoni kumi familia ikija utoboi kabisaOngezeko la buku kwa katoni linahimilika mzee
Mwachee aamini kila neno la jfHahaha 😂 😂 Ni ukweli kabisa
Upotevu wa muda kama sina kazi ya kufanya sawaNimewaza hapa pia, imagine hii chumvi ya maji ya Makao Makuu ambayo haishiki hata sabuni ya unga, jug ukilichemshia maji ya kuoga siku 3 tu hujaliosha unakuta chumvi imenasa chini, ndoo na majaba ndiyo usiseme,
Ndiyo uchemshe, uchuje, utie kwenye fridge kisha unywe..!!😂😂
Hapana naiga maisha ya Lamomy 😂
atakuja kulia katapeliwa laki 5 yake ya mtaji,,shauri yakeMwachee aamini kila neno la jf
Hahah hapana ase yakisma kuna wimbo tulikuwa tunaimba unaimbwa hiviNi wakati wa kununua dispenser na uanze kunywa Kisima pure drinking water
Kama uko Dar basi Hill Water ndo the perfect choiceHivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Shauri yako... Ni chujio wanaweka tuNisikujue ase nakuua
Ahahah mwambie awe mpole kidogoatakuja kulia katapeliwa laki 5 yake ya mtaji,,shauri yake
Mgese sana we 😂😂😂 kunywa wew kama pundaKunyweni maji ya mtoni.Unainama kama pundamilia.
Ni kweli uku nilipo hayapoKama uko Dar basi Hill Water ndo the perfect choice
Nanunua kwenye maduka makubwa au supermarketShauri yako... Ni chujio wanaweka tu
Nilikua natumia sana kilimanjaro ila nikahamia hillNi kweli uku nilipo hayapo
Wewe hupendi kuinama kama wifi yako anachuma mboga?Mgese sana we 😂😂😂 kunywa wew kama punda
Kandoro haina chumviKilimanjaro siku hizi yamekua kama kandoro tu.
Maji tumiaa Dew drop, Uhai au GSM
Acha ujinga bas ww unajua kabisa mm mwanaume how unakuja kuongea ivyoWewe hupendi kuinama kama wifi yako anachuma mboga?