Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Nanunua kwenye maduka makubwa au supermarket
Poa mkuu, kama unajitafuta chemsha maji ya bomba tia kwenye chombo safi, yakipoa utakua unakunywa maji salama kabisa.

Siku hizi hata bidhaa ikiwa ikiwa original unakuta kuna nyingine feki hasa kwenye maji na pombe kali.
Unakuta mtu kajifungia ndani kwakwe akiwa na chupa mpya zenye nembo pamoja na sealed zake anajaza na kufunga tu 😄
 
Muda muda
 
Back
Top Bottom