Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Unachelewa wewe.. Maji ni Udzungwa
Sina cha kuyaelezea. Sifa zake zimeyatangulia
Haya ndio maji,.Kuna wageni walikuja Tanzania kukaa Kwa muda mrefu so wakaomba mwenyeji wao awaletee maji brands zote zinazopatikana hapa,.wakaanza kuyapima ubora na device fulani ipo Kama Pen..wakataka Udzungwa ndio wawe wanakunywa siku zote..

Mimi pia ndio Maji yangu haya..hata Kilimanjaro mazuri but Fake mengi mtaani
 
Yana chumvi
 
Mbona siku hizi hayapatikani? Hata Mikumi siyaoni!
 
Back
Top Bottom