Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #121
We jamaa jau 😂😂😂Huwa nakula masikio na pua tu.Very delicious!
We jamaa jau 😂😂😂Huwa nakula masikio na pua tu.Very delicious!
hapana ila ukiyanywa itakuwa umekunywa hizo presevatives kila siku kwa miaka na miaka sio nzuri".......maji safi bila presevatives n bora kiafyaMh kwamba yana haribu figo?
Tumia ya afyaArusha
SanaWe jamaa jau 😂😂😂
Sawa asantehapana ila ukiyanywa itakuwa umekunywa hizo presevatives kila siku kwa miaka na miaka sio nzuri".
Labda ila dew drop naikubali sanTumia ya afya
Nipe connection vas nitoke kijijini niwe meo 😂Sana
Acha uongo 1.5 miatano 😂😂😂Maji ya kilimanjaro ya dar ni tofaut na ya mkoani..
Maji ya Kilimanjaro ya mikoan ni mazuri yapo fresh na bora na yanauzwa buku kwa 1.5L
Kwa dar maji ya kilimanjaro hayana ubora kabsa, sijui koz yanatumika kwa wing dar high population ya watu, wanaweka malighaf kiasi tu. Dar 1.5 ni jero kariakoo
Huna akili kabisa.Njoo hapa Mwanza nikutapeli halafu upate kazi ya Mtaa Executive Officer/MEO.Nipe connection vas nitoke kijijini niwe meo 😂
Umelazimishwa?Inanitesa sasa hasa familia ikiwa kubwa
Ahahah mwanzaa eeHuna akili kabisa.Njoo hapa Mwanza nikutapeli halafu upate kazi ya Mtaa Executive Officer/MEO.
Bia chungu mm na vitu vichachu hapanaKunywa bia Mwachiluwi , maji yatakuletea amoeba 🦠 shauri yako
Mwanzoni nilikuwa natuma na venye sio ile natuma hela afu nimwambie Ya maji hiyo😁, natuma tu kutokana na tunavoongeaga then yy ndo anabalance hii ya maji hii pedi hii msosi hii saloon etcAf ukizoea ngumu kuachaa unatuma pesa sasa au ndio
Si uliniambia unanunua maji gsm mall weweMi nakunywa maji ya mvua shauri yako..!! 😹😹😹
Kumbe jamaa sio bahili ngoja nikuozeshe binamu yangu 😂😂Mwanzoni nilikuwa natuma na venye sio ile natuma hela afu nimwambie Ya maji hiyo😁, natuma tu kutokana na tunavoongeaga then yy ndo anabalance hii ya maji hii pedi hii msosi hii saloon etc
Lete mawasiliano kigezo awe dsmKumbe jamaa sio bahili ngoja nikuozeshe binamu yangu 😂😂