mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 3,260
- 5,778
Elewa neno MIAKA😀😀Mi kuoa siyo miaka hii
Elewa neno MIAKA😀😀Mi kuoa siyo miaka hii
Kwahy unataka umchezee ni polisi laknMi kuoa siyo miaka hii
Hongera sanaMbona mamb ya kawaida
Now sina kampan ya watu kabisa ningeeza jifunza pombeeflying fish, Savana, sminorf ice ,Serengeti lite zipo zenye fleva
AsanteeHongera sana
Hilo ndo life letu wakinga..!! 😹😹Ndio utumie sabuni ya mo ya bei chee inachubua mikono we acha nunu OMo ndoo ndogo
Nataka nipate mtoto moja tu kwanzaElewa neno MIAKA😀😀
Juma Aweso akili yake hairuhusu kabisa Tap kukutoa maji ya kunywaHivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Dah hii mbaya sana ila nyumba yako mzuri sana kama ya gsmHilo ndo life letu wakinga..!! 😹😹
EWaa, Kila la heriNataka nipate mtoto moja tu kwanza
😂😂😂 yupo bise yeye mwenyewe hatumii hayo majiJuma Aweso akili yake hairuhusu kabisa Tap kukutoa maji ya kunywa
Mmekutana sasaEWaa, Kila la heri
Hapana yatapoteza ladha tunakunywa hivyo hivyo…!! 😹😹Hayo maji una ya treat.
Polisi kitu gn mzeee anazalishwa vizuri tu afu anapigwa chini aanze kurecord clips za tick tok na mtoto wake😁Kwahy unataka umchezee ni polisi lakn
Na hatuumwi matumbo wala harahara wala chunusi na vipeleHapana yatapoteza ladha tunakunywa hivyo hivyo…!! 😹😹
Dah sikupi aki 😂😂😂 nilikuwa na copy namba hapaPolisi kitu gn mzeee anazalishwa vizuri tu afu anapigwa chini aanze kurecord clips za tick tok na mtoto wake😁
Haya umetaja makampuni ya mabasi au maji🙂Unaweza kujaribu Evian, Voss au Saratoga 😏
😹😹😹 Acha uchawa..!!Dah hii mbaya sana ila nyumba yako mzuri sana kama ya gsm
Umuone ndugu yako tik tok kaweka Mayanga ya Fally Ipupa anacheza kwa hisia na mwanaeDah sikupi aki 😂😂😂 nilikuwa na copy namba hapa
Kabisa mkuu na tunadunda sio shida zetu..!! 😹🤣Na hatuumwi matumbo wala harahara wala chunusi na vipele