Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Hivi ni mimi tu naona haya au

Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda

Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi

Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro

Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Kwani kuna mtu anakulazinisha mkuu?
 
wahuni wametengeneza viwanda bubu wanatengeneza maji feki,hiyo michezo kitambo sana ,me nilikutana nayo hiyo 2020 maji ya kilimanjaro yana chumvi balaa, nikaamia udzungwa ndio maji Yangu pendwa ya muda wote.ndio wabongo tulivyo ukifanya vizuri sokoni lazima wakuletee bidhaa yako hiyo hiyo lakini Yake. naona hata kwenye makufuli ya solex yalivyokuja yalikuwa yanaaminika sana, Watu wakawaletea feki hata kama ujalifunga funguo inatoka ,na wakati solex kama ujalifunga funguo haitoki.
kwa kilimanjaro labda ukanunue kwenye ofice zao kabisa official ila kitaa tu utakutana na chumvi ya kutosha sana tu. na dewdrop soon na yeye watamletea maji ya chumvi maana sasa hivi yeye ndio anauza sana. bongo nyoso yaani bongo njaa sana.
 
Maji ya kilimanjaro ya Dar ni tofauti na ya Arusha. Niliyanywa ya Dar aiseee kama ya kisimani kabisa…

Dewdrop, Meru water is my favs… bado sijajaribu na yale ulinambia Certified Hater
hawa wadogo wanashinda bar wanakusanya machupa na vifuniko vya plastic unadhani wanayafanyia nini
 
Kwani kuchemsha maji ya bomba afu mkanywa Kuna shida Gani? Serikali inakuletea maji mpaka nyumbani Kwako afu wewe unaenda kununua mengine kweli?
 
Na kwa nn wameshusha bei? Au washaanza kuchakachua?
Kilimanjaro zamani 1.5 litres yakiuzwa 2000 2500 vp sasa iwe 1000!?
Au inategemea na maeneo?
1.5Lt ni 1000 nchi nzima unless uwende zile 3-5* places. Wameshusha labda wameongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji 😀😀
 
Hivi ni mimi tu naona haya au

Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda

Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi

Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro

Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri

GSM maji yao ni mabaya mdomoni sijui shida nini. Kwa sasa Hill Water ndo mazuri na Dew Drop
 
Hivi ni mimi tu naona haya au

Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda

Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi

Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro

Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Oya, Dom au Dar?
 
Cape town Maji ya Bomba ni yanayochujwa kutoka kwenye Vyoo/Vinyesi vya Binadamu.

Wazungu wengi na Raia Wachache hawanywi Maji ya Bomba, inawabidi wanunue hizo Maji za Chips, na Wazungu wanaokaa jirani na Table Mountain wametega Spring Water Toka Mlimani ndiyo wanatumia kunywa.

Wengi wetu tunachemsha Maji Kwa matumizi ya kunywa....!
Wewe Mbongo chanzo Cha kuanza kunywa Maji ya chupa Kwa maisha Yako ya Kila siku ni Nini!?
 
Maji mazuri ni ya kuchemsha mwenyewe, kunywa maji ya chupa ni arrogance ya elite class wage earners.
Maji safi ni yale yaliyochujwa na kuhifadhiwa vizuri. Hakuna maji salama siku hizi kwasababu hata uyachemshe hauwezi kunywa yakiwa ya moto, yakipoa wadudu huingia tena
 
Back
Top Bottom