Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Hivi ni mimi tu naona haya au

Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda

Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi

Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro

Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
wewe nunua water dispenser,na madumu 2,kila ukimaliza unachemsha maji na unajaza hizo chupa za dispenser,mambo supa
 
Kumbee nikikutajia jina utanijua 😂😂 kwhy umekaa chuno sana
Nimesoma pale kuanzia 1999 hadi 2005. Huo wimbo uliletwa miaka ya 80's, kipindi hiko ndiyo wakisoma ma-bro.

Kukufahamu labda itokee tu kwamba ulikuwa famous, maana mimi nikikaa Shangani.
 
Nimesoma pale kuanzia 1999 hadi 2005. Huo wimbo uliletwa miaka ya 80's, kipindi hiko ndiyo wakisoma ma-bro.

Kukufahamu labda itokee tu kwamba ulikuwa famous, maana mimi nikikaa Shangani.
Shangani west uko kote mitaa af nilikuwa nasali uko sema jina la mzee ni famous
 
Mfuniko upo na kuna namna ya kuyafanyia treatment ili wadudu wasiwepo njia maarufu ni kutumia Chumvi ya Mawe
Sasa sindo yale yale unakuwa unakunywa maji ya chumvi af maji ya mvua bati linakutu vumbi uchafu mwingi tu so ni ngumu kuondoa
 
Sidhani kama bila hii mada ya maji tungejua kama watu mna magari
Mkuu kwani nimekuambia nina gari hapo au nimekuambia naweka kwenye gari hivi wewe ukipanda hizi basi za mwendo kaso inakua ya kwako au ukitumia gari la usajili unaso anza na SU: inakua yako acha kunipamba umri wangu haujafikia kumiliki gari langu binafsi.
 
Mkuu kwani nimekuambia nina gari hapo au nimekuambia naweka kwenye gari hivi wewe ukipenda hiZi basi za mwendo kaso inakua ya kwako au ukitumi gari y SU: ni yako acha kunipamba umri wangu haujafikia kimiliki gari yangu binafsi.
😂😂😂 anasema una mazda x 5
 
Mkuu mtu kasema siwezi kumiliki gari ananijua sanaa kwanini nijipandishe kuanza kuanika magari ninao miliki? Ligi ya nini buana?
Kwwli kabisa sema wengine ivyo vitu hawana
 
Back
Top Bottom