Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Nimewaza hapa pia, imagine hii chumvi ya maji ya Makao Makuu ambayo haishiki hata sabuni ya unga, jug ukilichemshia maji ya kuoga siku 3 tu hujaliosha unakuta chumvi imenasa chini, ndoo na majaba ndiyo usiseme,

Ndiyo uchemshe, uchuje, utie kwenye fridge kisha unywe..!!😂😂
Hawajui hawa..
Maji yanapausha hadi sufuria, ndio sie tunywe? Aiiiii nmeshindwa kabla nijaribu 🤣
 
Hahah hapana ase yakisma kuna wimbo tulikuwa tunaimba unaimbwa hivi
Maji ya kisima mama sitoweza kunywa matumbili na manyani yana ogelea embeee embee dodo we embe embeee tamu sana 😂😂
Mkuu ulisoma Chuno primary?. Huo wimbo uliletwa pale na mhuni mmoja akiitwa mwalimu Lali.
 
Cape town Maji ya Bomba ni yanayochujwa kutoka kwenye Vyoo/Vinyesi vya Binadamu.

Wazungu wengi na Raia Wachache hawanywi Maji ya Bomba, inawabidi wanunue hizo Maji za Chips, na Wazungu wanaokaa jirani na Table Mountain wametega Spring Water Toka Mlimani ndiyo wanatumia kunywa.

Wengi wetu tunachemsha Maji Kwa matumizi ya kunywa....!
Wewe Mbongo chanzo Cha kuanza kunywa Maji ya chupa Kwa maisha Yako ya Kila siku ni Nini!?
😂😂😂 nafwata mkumbo
 
Nunuaga 13L kwa 4,000 hafu unakua na zile chupa kama watoto wa primary unakua unatembea nayo.
Mtwara ndio naonaga wanauza ivyo yanapita magari yale ya ndanda water wanauza unawekewa kwenye tank lako ila nitafanya ivyo now
 
Back
Top Bottom