Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Hivi ni mimi tu naona haya au

Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda

Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi

Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro

Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Mkuu funga RO System nyumbani.
Maji ya DAWASA hayana garantii ya kuwa salam
Maji ya chupa utapeli mtupu, wengi wana ghushi, lakini maji ni ya bomba au visima visyo na uhakiki.
Kuna magonjwa mengi ya tumbo sasa hivi, hata ukiumwa hujui umepataje ugonjwa.

RO System huchuja maji ya kunya kikamilifu.
Mimi nimefunga nyumbani.
1751288276188.png
 
View attachment 3389265
Inauzwaje
 
Ila wewe now umekua jeuri
Hapana,
MBAGARAAA nilienda wiki mbili zilizo pita nikashangaa tupo wachache kituoni gari ilipo fika gafla ikawa tafrani na purukushani, mtiti mpaka mtu kukatiwa ndala aisee wakaanza kuparulana mpaka kupigana vikumbo, wamama na vichanga mgongoni Sasa wakaingia wotee 🤣🤣 SITI ZIKABAKIA WALINISHANGAZA SANA HAWA WATU WA MBAGARAAA
 
MAJI MAZURI KULIKO YOYE TANZANIA AMBAYO HADI TBS WALIDHIBITHISHA HIVYO NI MAJI YA JAMBO.kama Hadi TBS walithibitisha kuwa maji hayo ni Bora kuliko maji mengine yeyote Tanzania,Sasa wewe unasubiri Nini kununua maji ya jambo?
 
Hapana,
MBAGARAAA nilienda wiki mbili zilizo pita nikashangaa tepo wachache kituoni Ila wakaanza kuparulana mpaka kupigana vikumbo, wamama na vichanga mgongoni Sasa wakaingia wotee 🤣🤣 SITI ZIKABAKIA WALINISHANGAZA SANA HAWA WATU WA MBAGARAAA
Sawa bhna ila sikuiz ata salamu sio kama zaman poa tu
 
MAJI MAZURI KULIKO YOYE TANZANIA AMBAYO HADI TBS WALIDHIBITHISHA HIVYO NI MAJI YA JAMBO.kama Hadi TBS walithibitisha kuwa maji hayo ni Bora kuliko maji mengine yeyote Tanzania,Sasa wewe unasubiri Nini kununua maji ya jambo?
Jambo alikuwa anatafuta soko tu
 
Mkuu funga RO System nyumbani.
Maji ya DAWASA hayana garantii ya kuwa salam
Maji ya chupa utapeli mtupu, wengi wana ghushi, lakini maji ni ya bomba au visima visyo na uhakiki.
Kuna magonjwa mengi ya tumbo sasa hivi, hata ukiumwa hujui umepataje ugonjwa.

RO System huchuja maji ya kunya kikamilifu.
Mimi nimefunga nyumbani.
View attachment 3389265
Gharama yake ikoje?
 
Hivi ni mimi tu naona haya au

Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda

Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi

Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro

Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
utakuwa na mimba...mimba yako ndio inapoteza radha halisi
 
Back
Top Bottom