Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kwanini mkuu.Umeshawahi jaribu maji ya kuitwa PANGANI...? 😁🙌
Kwanini mkuu.Umeshawahi jaribu maji ya kuitwa PANGANI...? 😁🙌
Mimi ni mjumbe wa dawasa bruh
Haaahaa,Mimi ni mjumbe wa dawasa bruh
Basi Zenji wanatuuzia bei za kitalii, ilikuwa maji ya Kilimanjaro unayapata baadhi tu ya maduka na pack yake ipo kwenye boxes. Sema siku nyingi sijayanunua. Nakunywa Drop of Zanzibar au Dew drop. Ila nikiwa home zaidi natumia maji ya bomba1.5Lt ni 1000 nchi nzima unless uwende zile 3-5* places. Wameshusha labda wameongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji 😀😀
Sa kwa nini ya nini..? Nimemuuliza kama kawahi sawa, kama hajawahi basi ayajaribu hayo😀Kwanini mkuu.
Hahahaha nayaonaga tuu mzee 😂 me maji ya viwandani ya moto Yana ladha ya hovyo, ya baridii ndo yananipa tonsilsHaaahaa,
Maji ya WATERCOM YAMEKUPITIA MBALI EEE
Na mimi nilitaka kumwambia hivyo hivyo. Tena haya maji ya chupa ya siku hizi Bongo yanaweza kuwa hatari kuliko kunywa ya bombani bila kuchemsha. Mimi maji nayopenda ni yale ya kuchemsha kwa kuni, halafu yanakuwa na mwonjo wa moshi kwa mbali... ukiweza kuzingatia usafi wakati wa kuchemsha ni mazuri sana.Maji mazuri ni ya kuchemsha mwenyewe, kunywa maji ya chupa ni arrogance ya elite class wage earners.
Uhai kwangu ndiyo mabaya kuliko maji mengine.Maji ya kilimanjaro ya ladha mbaya kama magadi, bora Uhai na Dew drop.
Unywaji wa maji ya chupa nyumbani ni dalili ya kuwa na kipato kizuri/kuwa mgonjwa mgonjwa.
Maji baridi hayasababishi matezi. Naua kuna watu wengi sana huwa wanasema hivyo lakini ukweli ni kwamba matezi yanasababishwa na aidha maabukizi ya virus au bakteria. Japo naweza kusema ukiwa unaumwa matezi na ukinywa maji baridi unaweza kupata maumivu.Hahahaha nayaonaga tuu mzee 😂 me maji ya viwandani ya moto Yana ladha ya hovyo, ya baridii ndo yananipa tonsils
Ko napiga dawasa baridii safi ya asili....
Mfano Mimi feni wala maji ya baridii situmii iwe ya Bomba au kiwandani vyote hivyo napata homa kwann ?Maji baridi hayasababishi matezi. Naua kuna watu wengi sana huwa wanasema hivyo lakini ukweli ni kwamba matezi yanasababishwa na aidha maabukizi ya virus au bakteria. Japo naweza kusema ukiwa unaumwa matezi na ukinywa maji baridi unaweza kupata maumivu.
Kweli? Mimi nikila ice cream, juice na maji baridi kesho yake au jioni ya hiyo siku nina tonsils.Maji baridi hayasababishi matezi. Naua kuna watu wengi sana huwa wanasema hivyo lakini ukweli ni kwamba matezi yanasababishwa na aidha maabukizi ya virus au bakteria. Japo naweza kusema ukiwa unaumwa matezi na ukinywa maji baridi unaweza kupata maumivu.
Ni laki 6 hadi 8.Gharama yake ikoje?
Si uchemse maji au vipiHivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Inawezakana una underlying condition nyingine tu. Kwa mfano feni inaweza kuwa una allergy ya mavumbi hivyo hufanya uugue. Kuhusu maji ya bomba na viwandani kuwa unapata homa, mh.. hili ni gumu kidogo. Inawezekana kabisa ni hisia zako tu au ilikuwa coincidence iliyotokea. Vinginevyo pengine mwili wako uko sensitive kwa vitu vinavyopatikana kwenye maji japo ni ngumu. BTW unaposema unapata ''homa'' una maana gani? Kwa sababu homa maana yake ni joto la mwili kupanda na kuisikia kuumwa na pia baridi. Nauliza kwa sababu kuna makabila mengine kuumwa kokote huwa wanaita ni homa.Mfano Mimi feni wala maji ya baridii situmii iwe ya Bomba au kiwandani vyote hivyo napata homa kwann ?
Hili ni la kisayansi kabisa. Vitu vya baridi havisababishi. Ni maambukizi ya virus au bakteria. Wewe pengine mwili wako uko sensitive sana kwa temperature change hivyo unakuwa na reaction kooni kwa sababu ya ule ubaridi. Nina uhakika unachopata siyo tonsils bali ni reaction ya mwili wako. Ni kama mwili wako unapata ''shock'' na ku-react kwa ule ubaridi. Nikuulize swali: hiyo hali inachukuwa muda gani kuisha na huwa unatumia nini?Kweli? Mimi nikila ice cream, juice na maji baridi kesho yake au jioni ya hiyo siku nina tonsils.
Anafikili wote tunapata ya mto RUVUHaya maji ya Auwsa yaliojaa chumvi ndio tuchemshe tunywe!! [emoji28]
Mimi nikiwa nyumbani hupendelea kunywa gongo au mbege.
Haaahaa 😆 🤣 wewe nomaaaMimi nikiwa nyumbani hupendelea kunywa gongo au mbege.
Sometimes nakunywa hadi komoni kabisa.
Nabanjuka tu hata kama maisha ni magumu 😂Haaahaa 😆 🤣 wewe nomaaa