DNA_WEKA SHIDA CHINI RUSHA MIKONO JUUU 🤓🤓🤓🤓😅🤣🤣Nabanjuka tu hata kama maisha ni magumu 😂
CC kijana aliyekulia kenya Monetary doctorDNA_WEKA SHIDA CHINI RUSHA MIKONO JUUU 🤓🤓🤓🤓😅🤣🤣
Banjuka tuuuu
Na juu Kenya ni kugumu, Tz mko poa akhiiCC kijana aliyekulia kenya Monetary doctor
Ndiyo napata ubaridi na joto la mwili kupanda,BTW unaposema unapata ''homa'' una maana gani? Kwa sababu homa maana yake ni joto la mwili kupanda na kuisikia kuumwa na pia baridi. Nauliza kwa sababu kuna makabila mengine kuumwa kokote huwa wanaita ni homa.
Zikichachamaa bila antibiotic sitoboi. Napata homa kali. Hata nikikaa sehemu kuna baridi kama sijajikoki mpaka shingoni lazima nizipate. Mikoa yenye baridi sio rafiki kwangu.Hili ni la kisayansi kabisa. Vitu vya baridi havisababishi. Ni maambukizi ya virus au bakteria. Wewe pengine mwili wako uko sensitive sana kwa temperature change hivyo unakuwa na reaction kooni kwa sababu ya ule ubaridi. Nina uhakika unachopata siyo tonsils bali ni reaction ya mwili wako. Ni kama mwili wako unapata ''shock'' na ku-react kwa ule ubaridi. Nikuulize swali: hiyo hali inachukuwa muda gani kuisha na huwa unatumia nini?
Mm napenda ya mvua sana ,,nikija kuvuta pira ntakua nayachemsha naweka kwenye friji natembea nayoBoil your water [emoji98] achani kuiga vitu vingine, mimi asubhi na miminia maji yangu in cooling jug na kuweka kwenye gari mpaka kazini.
Kwa nini hukuzitoa? Na mimi nilipokuwa mdogo zilikuwa zinanisumbua sana sana. Ila baada ya kukua zimeacha. Wangangu bado wadogo ndiyo walisumbuliwa kama mimi daktari akashauri tukazitoa.Zikichachamaa bila antibiotic sitoboi. Napata homa kali. Hata nikikaa sehemu kuna baridi kama sijajikoki mpaka shingoni lazima nizipate. Mikoa yenye baridi sio rafiki kwangu.
Halafu ni ya kurithi hii. Nimeirithi na nimerithisha.
Maisha ya Kenya kukuwa ngumu ni kutokana na akili za wakenya wenyewe yaani hata saa hii maandamano yanaendela kazi itafanyika saa ngapi.Na juu Kenya ni kugumu, Tz mko poa akhii
NitaachaChloride kwenye ayo maji itakuua Kwa kidney stones
Naogopa kwakweliKwa nini hukuzitoa? Na mimi nilipokuwa mdogo zilikuwa zinanisumbua sana sana. Ila baada ya kukua zimeacha. Wangangu bado wadogo ndiyo walisumbuliwa kama mimi daktari akashauri tukazitoa.
Niko njaa hata siwezi karanga huko ndo kwenyeweMaisha ya Kenya kukuwa ngumu ni kutokana na akili za wakenya wenyewe yaani hata saa hii maandamano yanaendela kazi itafanyika saa ngapi.
Katika ardhi ya Zakayo siyo?Niko njaa hata siwezi karanga huko ndo kwenyewe
LaikipiaKatika ardhi ya Zakayo siyo?
mkuu nenda kariakoo kuna madogo wanatembeza maji ya kunywa. uliziaAcha uongo 1.5 miatano
Hii ngeni kweli tenamkuu nenda kariakoo kuna madogo wanatembeza maji ya kunywa. ulizia
mie mwenyew nilibaki nashangaa maji jero, nikabaki najiulza huenda kuna viwanda bubuHii ngeni kweli tena