Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Kajionea mwenyewe hapaAhahah mwambie awe mpole kidogo
Kajionea mwenyewe hapaAhahah mwambie awe mpole kidogo
😂😂😂 we ushao bhnaLete mawasiliano kigezo awe dsm
anhaaa chai ya usiku sioCHAI
Anakuja kwa pupa dogo atalizwa vibayaKajionea mwenyewe hapa
siku hizi zipo zenye sukariBia chungu mm na vitu vichachu hapana
Mwambie watu wema jf wameisha 😂😂anhaaa chai ya usiku sio
Kama zipi?siku hizi zipo zenye sukari
afu ni m'bishi hatari,,shaurileeeeAnakuja kwa pupa dogo atalizwa vibaya
Mkinga nilivyo bahili ninunue maji wakati ya mvua bure yamejaa 😹😹Si uliniambia unanunua maji gsm mall wewe
Sikio la kufa huyo,tumwache aje atoe povu siku moja humuMwambie watu wema jf wameisha 😂😂
Muache atakuja kutoa simuliziafu ni m'bishi hatari,,shaurileeee
mimi mwenyewe nazuga hapa kuna mtu atalia soon mtaona anafungua uzi mrefu kama kamba.Anakuja kwa pupa dogo atalizwa vibaya
Ndio utumie sabuni ya mo ya bei chee inachubua mikono we acha nunu OMo ndoo ndogoMkinga nilivyo bahili ninunue maji wakati ya mvua bure yamejaa 😹😹
Jaba hilo nimejaza maji ya mvua 🤣
😂😂😂Sikio la kufa huyo,tumwache aje atoe povu siku moja humu
😀 Kwamba dogo atalizwa! inasikitisha sana.Anakuja kwa pupa dogo atalizwa vibaya
Dah, kwahiyo dogo unakunywa maji ya chupa ya kununua! Amani iwe naweHivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Mi kuoa siyo miaka hii😂😂😂 we ushao bhna
Hayo maji una ya treat.Mkinga nilivyo bahili ninunue maji wakati ya mvua bure yamejaa 😹😹
Jaba hilo nimejaza maji ya mvua 🤣
Mbona mamb ya kawaidaDah, kwahiyo dogo unakunywa maji ya chupa ya kununua! Amani iwe nawe
flying fish, Savana, sminorf ice ,Serengeti lite zipo zenye flevaKama zipi?