HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Hatari Sana....Hata Bottles Designed Are Sooo Execute.......!!!Drop hana mpizani
Hatari Sana....Hata Bottles Designed Are Sooo Execute.......!!!Drop hana mpizani
Kwendeni zenu.Sisi Simba tunajiandaa kwa mambo manene.Kesho jangwani kuna supu ya ngamia tena 😂😂
😂😂😂 sawaEndelea kuteseka!! Ukipiga hesabu hatua za uchemshaji hadi maji yawe sawa na gharama heri ununue tu!! Me nakunywa uhai miaka zaidi ya mitano now!!
Sawamaji mazuri ni ya afya kenge nyie
Ya kishua zaid 😂Hatari Sana....Hata Bottles Designed Are Sooo Execute.......!!!
Ila nitakuibia nyama na supu nakuja nazo mpka home utakula tuKwendeni zenu.Sisi Simba tunajiandaa kwa mambo manene.
unayajua au unaishi mbwinde?Sawa
MdaChemsha maji ya kunywa ndio salama zaidi.
Kesho uje jangwani unywe supu ya ngamiaunayajua au unaishi mbwinde?
Sizitaki.Huwa zinawaaibisha watu Zinawakaba wanakufa.Ila nitakuibia nyama na supu nakuja nazo mpka home utakula tu
Sasa sindio nataka ukufe sijalia msiba siku nying 😂Sizitaki.Huwa zinawaaibisha watu Zinawakaba wanakufa.
Muda ndio kama hhuu. Sometimes sio lazima uchemshe ndipo unywe... Pendelea kuichangamsha kinga yako ya mwiliMuda muda
maji ya afya unayajua?Kesho uje jangwani unywe supu ya ngamia
Kwa hiyo unataka ule ubwabwa wenye vumbivumbi za magome ya miti? Hatari sana.Sasa sindio nataka ukufe sijalia msiba siku nying 😂
Nachoka sanaMuda ndio kama hhuu. Sometimes sio lazima uchemshe ndipo unywe... Pendelea kuichangamsha kinga yako ya mwili
Hapanamaji ya afya unayajua?
ko maji yenye presevatives ndiyo bora??Hivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Ndio unakuwaga mtamuuuu si unajuaKwa hiyo unataka ule ubwabwa wenye vumbivumbi za magome ya miti? Hatari sana.
Sijuiko maji yenye presevatives ndiyo bora??