Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Maji mazuri ni ya kuchemsha mwenyewe, kunywa maji ya chupa ni arrogance ya elite class wage earners.Hivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Inanitesa sasa hasa familia ikiwa kubwaMaji mazuri ni ya kuchemsha mwenyewe, kunywa maji ya chupa ni arrogance ya elite class wage earners.
Dew drop bei ipo juu sana uhai sijawai elewa na GSM ndio kuzidi mabayaKilimanjaro siku hizi yamekua kama kandoro tu.
Maji tumiaa Dew drop, Uhai au GSM
Wanauzaje hapo Matejo?Dew drop bei ipo juu sana uhai sijawai elewa na GSM ndio kuzidi mabaya
Catoni 6000 uku kilimanjaro 5000Wanauzaje hapo Matejo?
Bei juu kiaje wakati mls 600 ni jero?Dew drop bei ipo juu sana uhai sijawai elewa na GSM ndio kuzidi mabaya
Boil your water [emoji98] achani kuiga vitu vingine, mimi asubhi na miminia maji yangu in cooling jug na kuweka kwenye gari mpaka kazini.Inanitesa sasa hasa familia ikiwa kubwa
Ni elf 5000Catoni 6000 uku kilimanjaro 5000
Ahahah kwangu dew drop. The best more bestMaji ya kilimanjaro ya Dar ni tofauti na ya Arusha. Niliyanywa ya Dar aiseee kama ya kisimani kabisaβ¦
Dewdrop, Meru water is my favs⦠bado sijajaribu na yale ulinambia Certified Hater
Kwahy napigwa sio lita ngapi iyoNi elf 5000
Haya maji ya Auwsa yaliojaa chumvi ndio tuchemshe tunywe!! πBoil your water [emoji98] achani kuiga vitu vingine, mimi asubhi na miminia maji yangu in cooling jug na kuweka kwenye gari mpaka kazini.
Mkuu nunua water dispenser weka ndani nunua kisima wawekee hapoInanitesa sasa hasa familia ikiwa kubwa
Mimi napigwa na boda kabisaBei juu kiaje wakati mls 600 ni jero?
Au ndio wataka km kilimanjaro lita 1.5 kwa buku
Nenda maduka ya jumla ni 5000 katoniMimi napigwa na boda kabisa
Ahahha umenishinda tabia wewe ππBoil your water [emoji98] achani kuiga vitu vingine, mimi asubhi na miminia maji yangu in cooling jug na kuweka kwenye gari mpaka kazini.
Asante kwa kunisanua aseNenda maduka ya jumla ni 5000 katoni