Utamaduni mpya wa uchumi duniani umeshabadilika, tujiandae kisaikolojia kwenda nao na si kuganda kule kule

Mapovu ya nini tena, hizo instruments of powers ambazo Samia alimpa Mbarawa kule Dubai ni mambo ya kawaida kabisa kwenye masuala ya mikataba.

Nimekupa mifano ya Kikwete kumkasimisha Karamagi miaka ile, ipo mifano ya Mkapa kuwakasimisha mawaziri wengi tu akiwa rais.

Au unapoandika instruments of powers unaona ni kitu kikubwa saaana ni lugha tu kaka Kiranga.

Punguza mapovu upepo kwa sasa unaelekea vibaya kwa nchi za magharibi na upo vizuri sana kwa mwarabu.

Mnakuja na sababu za kipuuzi za instruments of powers, mara vifungu vina matatizo na yote hayo mnapewa majibu mazuri tu.
 
Mapovu hata hujaanza kuyaona.

Kwanza kabisa, hujaelewa nilichoandika.

Pili hujasoma mkataba.

Tatu, ikiwa nimekosea na umesoma mkataba, basi wewe ni mpumbavu zaidi ya nilivyofikiri.

Bisha.
 
Mafuta yanaisha uarabuni so lazima waqngalie makoloni mapya Africa
 
Umeongea nini sasa apo[emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…