Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
- Thread starter
- #41
Mapovu ya nini tena, hizo instruments of powers ambazo Samia alimpa Mbarawa kule Dubai ni mambo ya kawaida kabisa kwenye masuala ya mikataba.Wewe ngumbaru unaelewa hata nilichoandika?
Unaelewa sijahoji Mbarawa kupewa instruments of full powers kwa niaba ya Tanzania?
Unajua kusoma kwa ufahamu wewe ngumbaru?
Mkataba umeusoma wewe maamuma?
Haya ndiyo matatizo ya kujibizana na wapumbavu wanaobumbabumba mambo bila hata kujua kusoma kwa ufahamu.
You are an ignoble imbecile.
An insufferable idiot.
A calcified cretin.
Nimekupa mifano ya Kikwete kumkasimisha Karamagi miaka ile, ipo mifano ya Mkapa kuwakasimisha mawaziri wengi tu akiwa rais.
Au unapoandika instruments of powers unaona ni kitu kikubwa saaana ni lugha tu kaka Kiranga.
Punguza mapovu upepo kwa sasa unaelekea vibaya kwa nchi za magharibi na upo vizuri sana kwa mwarabu.
Mnakuja na sababu za kipuuzi za instruments of powers, mara vifungu vina matatizo na yote hayo mnapewa majibu mazuri tu.