Utamaduni ni uchumi

Utamaduni ni uchumi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Nguvu ya utamaduni. Huwaleta watu pamoja, huwafanya kuwa pamoja, huwaunganisha na Kuwapa nguvu yenye mshikamano imara sana!

Je tuna utamaduni wa mwafrika? Ni upi? Je tuna utamaduni wa Mtanzania? Ni upi?

Maana utamaduni ni uchumi, Utamaduni ni sera. Utamaduni ni siasa, Utamaduni ni imani
Utamaduni ni uhuru, Utamaduni ni maendeleo.

Hakuna utamaduni wa kukopea, hakuna utamaduni chotara, hakuna utamaduni wa kuiga.. Huo ni Utumwa na fikra finyu.. Utamaduni hauchakachuliwi.

Watu waliosimamia tamaduni zao hata uchumi wao uko imara, utaifa wao si wa mashaka na uzalendo wao ni wa vitendo kuliko maneno!

Mifano michache wa juu ya utamaduni. Waangalie wachina.. Chochote watakachofanya watajiangalia wao kwanza kama taifa, Waangalie waarabu. Waangalie wahindi nknk.. Halafu waangalie chumi zao zilivyo imara na wanavyoweza kujipenyeza nje ya mipaka Hao na kupata mafanikio makubwa!

Mchina popote alipo ulimwenguni haachi utamaduni wa kutumia vijiti kama vijiko.. Haachi utamaduni wa kuagiza vyakula toka kwao..! Matokeo yake huwaambukiza hata wenyeji na kujikuta nao ni wapenzi na watumiaji.. Je hapo wenyeji hawakuzi uchumi wa mgeni?
Vipi kuhusu kung fu na martial arts zingine!?

Utamaduni ni uchumi na ni biashara kubwa sana! Utamaduni wa Mtanganyika ni upi? Namaanisha Tanganyika kama taifa huru... Tulibakiwa na Wamasai kama kitambulisho cha utamaduni wa Mtanganyika nje ya mipaka.. Na kwa kutumia utamaduni wa Kimasai taifa limenufaika pakubwa kijamii kiuchumi na kibiashara pia!

Kwa kilichotokea Ngorongoro hivi karibuni ni mfano halisi wa kusimama na utamduni.. Mshikamano wenye sauti moja

Mifano halisi huleta uelewa wa haraka! Tanganyika tuna makabila zaidi ya 110.. Makubwa na madogo.. Ni makabila yale tu yaliyoweza kusimama na tamaduni zake ndio yaliyoweza kusikika zaidi na kunufaika zaidi katika nyanja karibia zote

Mfano halisi wa haraka watani zangu wachaga.. Hawa wapewe heshima yao kubwa!
Hivi ni katika kona gani ya Tanganyika utakosa haya mambo matatu? Mtori wenye nyama tatu.

Pombe ya mbege na kombe lake! Duka la mangi hata kama mmiliki si Mchaga?
Kuna tunu njema kubwa na ya ziada uchagani.. Thamani ya ardhi.. Mchaga atakupa kila Kitu lakini si ardhi yake huko uchagani

Tanganyika kama taifa huru hatuna utamaduni wetu bali tuna vitu vya kuletewa vilivyokosa uhalisia. Hivi ulishawahi kuona taifa linaendesha mashindano ya kutafuta vazi la taifa?

Tamaduni zilizo bora huyanufaisha na kuyainua mataifa yake kiuchumi, kiimani kijamii na kiulinzi. Tamaduni mbovu huziangusha himaya!

Kinachosimama na kusimamia tamaduni imara popote pale ni ardhi.. Hilo husemwa wazi na kwa sauti kubwa! Kwamba hapa ndio kwetu.. Hatuna pengine zaidi ya hapa! Kila kinachotuhusu sisi kitaanzia hapa!

Ardhi hufuatiwa na watu wenye kujielewa na kujitambua.. Watu hawa kutokana na ardhi yao huunda tamaduni zao

Tamaduni ni mila na desturi kwenye
Mavazi
Vyakula
Vinywaji
Urembo
Ala na midundo
Vyote hivi hufanywa na kufanyika juu ardhi na hufanywa na watu..!

Kwa baadhi ya makabila hakuna kitu kibaya kama kuuza ardhi.. Laana yake utauza mpaka nguo ya ndani na bado usifanikiwe wala usitosheke!

Je hii laana imeingia Tanganyika?
Je utamaduni wa Tanganyika ni upi?
 
Kazi kweli kweli.
Ninachojua ni kwamba CHADEMA ikiingia madarakani, utamaduni wetu ndio utapotea kabisa.

Yaani ukishaanza kutumia lugha isiyo yako(lugha ngeni)teyari unaanza kupoteza utamaduni wako.

Mfano CHADEMA.

Hebu fikiria kwanza viongozi wa CHADEMA wakiwa majukwaani wakihamasisha kadamnasi, huwa wanakimbilia lugha za kigeni, nyimbo na hata mbinu za siasa za nje za kugawa watu kwa maeneo-utawasikia "Peoples Power" huku wakiingia na nyimbo za Bob Marley na kutaka kutugawa zaidi ya tulivyomegwa na kutenganishwa na wazungu, -ati, 'Serikali za Majimbo' Kwanini wasiseme sisi ni 'Nguvu ya Umma' au wakaingia na nyimbo za Kiafrika ama Kitanzania shingeli hivi ,mtumee hata Ndombolo...Kwanini watuletee Utamaduni wa Kigeni?

CHAGUA kwa umakini chaguzi zijazo 2024+2025 Utamaduni wako uko ukingoni kupotezwa.
 
Utamaduni ni uhuru ukweli na uwazi
Unatangaza demokrasia lakini hutaki wananchi wafanye demokrasia.. Hizi ni akili ama matope
 
kuna wakati huwa natamani turudi miaka ya 75-80 ila tuboreshe kidogo kwa kadri ya mazingira yaliyopo.
hatukuwa na viongozi wengi majambazi ambao wako tayari wagonjwa wafe kwa kukosa dawa huku wao wakitumia raslimali kwa ubinafsi wao lakini wakizilinda wale waliowaibia wasizichukue na wako tayari kuwaua kwa gharama yoyote.
hatukwa matajiri lakini kwa kiasi fulani tulithamini kufanya kazi kama si kuajiriwa basi kwenye kilimo pamoja kilimo kilikuwa cha mateso na hakikututosheleza.
tulitembea muda mrefu kutafuta elimu zaidi ya km 3 wengine llakinipamoja tulifeli lakini tulitoka tunajua kusoma na kuandika achilia upeo na uelewa uikuwa mkubwa. kwa sasa tunafauru lakini mhn!
tuliishi katika mazingira magumu sukari ikipatikana kwenye duka la ushirika la kijiji kwa kila kaya kununua kilo zisizozidi mbili tena unanunua bidhaa mbili sukari pamoja na glass au viberiti visivyoendana pamoja lakini bado hatukuwa na magonjwa.
tuliweza kuchagua viongozi waaminifu kwaajiri ya jamii na walianzia tokea kwenye jamiia zetu za familia ndogondogo kisha wakapanda kwenye matawi bila kutarajia kuhongwa mlo mmoja na kupoteza vyote.
kwa kiasi wanasiasa na wanajamii waliheshimu taaluma za watu pamoja kuwa wenye taaluma hawakulipwa vizuri.
kwa kiasi tulipendana na kuheshimiana kwa watoto kujua wajibu wao na wakubwa kujua wajibu wao.
viko vingi vizuri lakini katika yote haijalishi tumekosea umbali gani inabidi turudi tutafute njia itakayotuvusha ili tuepukane na kutetea ujinga.
 
kwa kiasi tulipendana na kuheshimiana kwa watoto kujua wajibu wao na wakubwa kujua wajibu wao.📌🔨
 
Kusema kweri kabisa kutoka moyoni kwa sasa watumishi wengi wa umma hawana tena hofu.

Jana nilikua najisikia hovyo nikaenda kwenye moja ya hospital,hapa Cuba sikuamini macho yangu.

Wahusika wanatoa huduma kwa nyodo nyingi huku wanapiga soga, wengine wana Peruzzi.

Pia niliona mtu kaleta mgonjwa yupo hoi sana kwa muonekano,wahusika hata hawajari.

Jamaa kaelekezwa kwa ukari kachukue willchaer,mpeleke mgonjwa wako kule.

Nikajisemea kweri kabisa tarehe ngapi vile mwezi march mwaka 2021 baadhi yetu tulifiwa ngoja tuisome n,o vizuri.
 
Nguvu ya utamaduni. Huwaleta watu pamoja, huwafanya kuwa pamoja, huwaunganisha na Kuwapa nguvu yenye mshikamano imara sana!

Je tuna utamaduni wa mwafrika? Ni upi? Je tuna utamaduni wa Mtanzania? Ni upi?

Maana utamaduni ni uchumi, Utamaduni ni sera. Utamaduni ni siasa, Utamaduni ni imani
Utamaduni ni uhuru, Utamaduni ni maendeleo.

Hakuna utamaduni wa kukopea, hakuna utamaduni chotara, hakuna utamaduni wa kuiga.. Huo ni Utumwa na fikra finyu.. Utamaduni hauchakachuliwi.

Watu waliosimamia tamaduni zao hata uchumi wao uko imara, utaifa wao si wa mashaka na uzalendo wao ni wa vitendo kuliko maneno!

Mifano michache wa juu ya utamaduni. Waangalie wachina.. Chochote watakachofanya watajiangalia wao kwanza kama taifa, Waangalie waarabu. Waangalie wahindi nknk.. Halafu waangalie chumi zao zilivyo imara na wanavyoweza kujipenyeza nje ya mipaka Hao na kupata mafanikio makubwa!

Mchina popote alipo ulimwenguni haachi utamaduni wa kutumia vijiti kama vijiko.. Haachi utamaduni wa kuagiza vyakula toka kwao..! Matokeo yake huwaambukiza hata wenyeji na kujikuta nao ni wapenzi na watumiaji.. Je hapo wenyeji hawakuzi uchumi wa mgeni?
Vipi kuhusu kung fu na martial arts zingine!?

Utamaduni ni uchumi na ni biashara kubwa sana! Utamaduni wa Mtanganyika ni upi? Namaanisha Tanganyika kama taifa huru... Tulibakiwa na Wamasai kama kitambulisho cha utamaduni wa Mtanganyika nje ya mipaka.. Na kwa kutumia utamaduni wa Kimasai taifa limenufaika pakubwa kijamii kiuchumi na kibiashara pia!

Kwa kilichotokea Ngorongoro hivi karibuni ni mfano halisi wa kusimama na utamduni.. Mshikamano wenye sauti moja

Mifano halisi huleta uelewa wa haraka! Tanganyika tuna makabila zaidi ya 110.. Makubwa na madogo.. Ni makabila yale tu yaliyoweza kusimama na tamaduni zake ndio yaliyoweza kusikika zaidi na kunufaika zaidi katika nyanja karibia zote

Mfano halisi wa haraka watani zangu wachaga.. Hawa wapewe heshima yao kubwa!
Hivi ni katika kona gani ya Tanganyika utakosa haya mambo matatu? Mtori wenye nyama tatu.

Pombe ya mbege na kombe lake! Duka la mangi hata kama mmiliki si Mchaga?
Kuna tunu njema kubwa na ya ziada uchagani.. Thamani ya ardhi.. Mchaga atakupa kila Kitu lakini si ardhi yake huko uchagani

Tanganyika kama taifa huru hatuna utamaduni wetu bali tuna vitu vya kuletewa vilivyokosa uhalisia. Hivi ulishawahi kuona taifa linaendesha mashindano ya kutafuta vazi la taifa?

Tamaduni zilizo bora huyanufaisha na kuyainua mataifa yake kiuchumi, kiimani kijamii na kiulinzi. Tamaduni mbovu huziangusha himaya!

Kinachosimama na kusimamia tamaduni imara popote pale ni ardhi.. Hilo husemwa wazi na kwa sauti kubwa! Kwamba hapa ndio kwetu.. Hatuna pengine zaidi ya hapa! Kila kinachotuhusu sisi kitaanzia hapa!

Ardhi hufuatiwa na watu wenye kujielewa na kujitambua.. Watu hawa kutokana na ardhi yao huunda tamaduni zao

Tamaduni ni mila na desturi kwenye
Mavazi
Vyakula
Vinywaji
Urembo
Ala na midundo
Vyote hivi hufanywa na kufanyika juu ardhi na hufanywa na watu..!

Kwa baadhi ya makabila hakuna kitu kibaya kama kuuza ardhi.. Laana yake utauza mpaka nguo ya ndani na bado usifanikiwe wala usitosheke!

Je hii laana imeingia Tanganyika?
Je utamaduni wa Tanganyika ni upi?

Pia utamaduni ni ibada, demokrasia, elimu, fedha, mali, utu, lugha nk
 
kuna wakati huwa natamani turudi miaka ya 75-80 ila tuboreshe kidogo kwa kadri ya mazingira yaliyopo.
hatukuwa na viongozi wengi majambazi ambao wako tayari wagonjwa wafe kwa kukosa dawa huku wao wakitumia raslimali kwa ubinafsi wao lakini wakizilinda wale waliowaibia wasizichukue na wako tayari kuwaua kwa gharama yoyote.
hatukwa matajiri lakini kwa kiasi fulani tulithamini kufanya kazi kama si kuajiriwa basi kwenye kilimo pamoja kilimo kilikuwa cha mateso na hakikututosheleza.
tulitembea muda mrefu kutafuta elimu zaidi ya km 3 wengine llakinipamoja tulifeli lakini tulitoka tunajua kusoma na kuandika achilia upeo na uelewa uikuwa mkubwa. kwa sasa tunafauru lakini mhn!
tuliishi katika mazingira magumu sukari ikipatikana kwenye duka la ushirika la kijiji kwa kila kaya kununua kilo zisizozidi mbili tena unanunua bidhaa mbili sukari pamoja na glass au viberiti visivyoendana pamoja lakini bado hatukuwa na magonjwa.
tuliweza kuchagua viongozi waaminifu kwaajiri ya jamii na walianzia tokea kwenye jamiia zetu za familia ndogondogo kisha wakapanda kwenye matawi bila kutarajia kuhongwa mlo mmoja na kupoteza vyote.
kwa kiasi wanasiasa na wanajamii waliheshimu taaluma za watu pamoja kuwa wenye taaluma hawakulipwa vizuri.
kwa kiasi tulipendana na kuheshimiana kwa watoto kujua wajibu wao na wakubwa kujua wajibu wao.
viko vingi vizuri lakini katika yote haijalishi tumekosea umbali gani inabidi turudi tutafute njia itakayotuvusha ili tuepukane na kutetea ujinga.
kwa kiasi wanasiasa na wanajamii waliheshimu taaluma za watu pamoja kuwa wenye taaluma hawakulipwa vizuri.
kwa kiasi tulipendana na kuheshimiana kwa watoto kujua wajibu wao na wakubwa kujua wajibu wao.
Kusema kweri kabisa kutoka moyoni kwa sasa watumishi wengi wa umma hawana tena hofu.

Jana nilikua najisikia hovyo nikaenda kwenye moja ya hospital,hapa Cuba sikuamini macho yangu.

Wahusika wanatoa huduma kwa nyodo nyingi huku wanapiga soga, wengine wana Peruzzi.

Pia niliona mtu kaleta mgonjwa yupo hoi sana kwa muonekano,wahusika hata hawajari.

Jamaa kaelekezwa kwa ukari kachukue willchaer,mpeleke mgonjwa wako kule.

Nikajisemea kweri kabisa tarehe ngapi vile mwezi march mwaka 2021 baadhi yetu tulifiwa ngoja tuisome n,o vizuri.
Nina kesi kituo cha Gogoni wilayani Ubungo ina miezi mitatu sasa ukimpigia mpelelezi anasema bado wanapeleleza
 
View: https://x.com/odompopodo/status/1837040712837181889?t=ptaxlWS3oEDKzrwGNyc_Jg&s=09
 
20240922_124329.jpg
 
Back
Top Bottom