Utamaduni wa Rushwa ndiyo tatizo kubwa

Utamaduni wa Rushwa ndiyo tatizo kubwa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Rushwa na adui wa taifa. Nitoe mifano miwili

1. Undeshaji wa mabasi ya mwendo kasi una rushwa kiasi cha viongozi kuharibu mfumo wa kununua card za ticket.

2. Bandari nayo ufanisi mdogo ni hawa hawa viongozi wetu kupitisha mizigo ya marafiki bure.

Hawa waarabu wanakuja na kutumia mifumo ile ile tofauti ni kwamba wanazuia njia za rushwa kwa kupitia teknolojia.

Sasa tuna lalamika lakini tungetakiwa kulalamika zaidi wakati wala rushwa wapo.


Tatizo la nchi zetu hata Kenya wana tatizo hili wafanyakazi wa serikali ndiye wezi wakubwa wa mali za serikali. Sheria ziwe kali, kazi ziwe za mikataba na kuwe na list maalumu ya wala rushwa
 
Mpaka mtakapo badilika na kuacha wizi na kutoa na kupokea rushwa basi hamtafika popote
Na kila mmoja atamlalamikia mwenzie yaani mwizi anamsema mwizi

Hata mwarabu anaposaini mkataba utakuta kaibiwa laptop au ile kalamu yake

Yaani muwekezaji atakimbia mwenyewe kwa jinsi ninavyowajua
 
Back
Top Bottom