Duuh,ni tabia mbaya sana.Nahisi polisi mmoja ame komenti tayari
Link ya hiyo kamati tujue hao wajumbeNashukuru Raisi ameunda kamati maalumu ukweli ni kwamba utamaduni wa rushwa ni mkubwa sana Polisi
Polisi ni genge la waporaji waliovalia nguo za majeshi halali; naamini picha mwendo hii akiiona mh Rais wa Zanziba Dk Hussein Ali Mwinyi atachukua hatua kama ilivyo ada kwake maana hapendi dhuluma kama hizi za walinzi wa mali na raia. Huyu anatakiwa aoneshwe mfano kwa kufunguliwa mashitaka mahakamani kuliko kumfukuza pekee; sifa mbaya wazungu wanazipeka kwao eti nchi imefunguliwa wakati watumishi wameoza kwa uhalifu.Nashukuru Raisi ameunda kamati maalumu ukweli ni kwamba utamaduni wa rushwa ni mkubwa sana Polisi
Rushwa za polisi ni kama biashara, mara nyingi haziachi masizi wala malalamiko, rushwa hizi mlalamikaji hubaki kuwa ni kiongozi wa serikali anayeigiza kupambana nazo, si aliyetoa rushwa.Polisi ni genge la waporaji waliovalia nguo za majeshi halali; naamini picha mwendo hii akiiona mh Rais wa Zanziba Dk Hussein Ali Mwinyi atachukua hatua kama ilivyo ada kwake maana hapendi dhuluma kama hizi za walinzi wa mali na raia. Huyu anatakiwa aoneshwe mfano kwa kufunguliwa mashitaka mahakamani kuliko kumfukuza pekee; sifa mbaya wazungu wanazipeka kwao eti nchi imefunguliwa wakati watumishi wameoza kwa uharifu
Hii ni ya kitambo sana, sijui hata kama huyo polisi alichukuliwa hatua zozote.Polisi ni genge la waporaji waliovalia nguo za majeshi halali; naamini picha mwendo hii akiiona mh Rais wa Zanziba Dk Hussein Ali Mwinyi atachukua hatua kama ilivyo ada kwake maana hapendi dhuluma kama hizi za walinzi wa mali na raia. Huyu anatakiwa aoneshwe mfano kwa kufunguliwa mashitaka mahakamani kuliko kumfukuza pekee; sifa mbaya wazungu wanazipeka kwao eti nchi imefunguliwa wakati watumishi wameoza kwa uharifu