gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Nijizungumzie wakati mnalia CCM kuendelea kupeta!!Usijumlishe jizungumzie wewe🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijizungumzie wakati mnalia CCM kuendelea kupeta!!Usijumlishe jizungumzie wewe🚮
Hili halina ubishiChanzo cha kuwepo kwa janga hili ni kutokana na Wananchi wengi Sana kukosa elimu.
Siyo siri hata kidogo, wananchi wengi sana katika nchi hii ni mambumbumbu na mazumbukuku.
Ila duu siasa za kutekana na kupotezana na kuondoa roho za watu?, hadi pyuupyuu!Watanzania walifuatilia siasa 1995,2000,2005,2010,2015... wapinzani ndiyo hawaeleweki,so tumeona bora CCM iendelee
Unafki wa nini jamani!!..be honest, honesty is the best policyWewe tetea CCM yako
Kwani kwenye Uzi Kuna sehemu CCM imetajwa?
Chacha wangwe au?Ila duu siasa za kutekana na kupotezana na kuondoa roho za watu
If you isolate yourself, from taking part in political administrations and political processes, don't blame to be ruled by a fool,Watanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi.
Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi.
Bandari zinauzwa
Serengeti unaenda kuchimbwa madini, kwa baadae Serengeti haitakuwepo, tupo kimya, Sasa vizazi vyetu vitakuta nini? Vitatuona tulikuwa wajinga kiasi gani?
Rushwa serikalini imekuwa kubwa, mali za umma zinauzwa.
Utekaji na mauaji
Tunaona kawaida Kwa kuwa hatujatekwa au kuuliwa sisi au ndugu wa karibu
Huduma mbovu za kijamii
Shule hazina walimu na madawati. Hospital hakuna madawa, watu hawana bima. Maji hakuna, umeme wa uhakika haupo.
Bunge limekuwa kama sehemu ya kuimba mapambio. Bunge limewekwa mfukoni. Bunge la wananchi linatunga sheria za kuwakandamiza wananchi, rejea mambo ya tozo n.k. Tuko kimya tu.
Tujifunze Kenya wao wale sio makondoo kama Watanganyika
Tusimlaumu sana Nyerere, tangu ameacha madaraka ni takribani miaka 44. Tangu amekufa ni miaka 25. Maana yake tangu ameacha utawala, waliozaliwa ni watu wazima na ndiyo wanayofanya yote haya tunayoona. Mali asili alizoacha ndiyo zinachezewa na kizazi hiki. Ndiyo kizazi kinachodanganywa na akina mwasambwa.Nyerere aliharibu sana hii nchi.Alituletea siasa ya hovyoo,Elimu alituharibia kabisa,watu wote walijengewa hofu,walipotaka kupata mageuzi aliingilia kati kumbuka 1995 Mrema alipotikisa nchi yeye akaingilia kati,watu walipodai Tanganyika yao alikataa haya yote ni kwakuwa aliamini Mawazo yake ndiyo sahihi tu,haya yanayotokea muasisi ni yeye, roho inaniuma sana Kwa Serengeti kwenda kutoweka urithi wetu mzanzibari hana anachopoteza tumekaa tu tunashabikia Simba na Yanga aliyetuloga alishatupa funguo baharini
Nyerere aliharibu sana hii nchi.Alituletea siasa ya hovyoo,Elimu alituharibia kabisa,watu wote walijengewa hofu,walipotaka kupata mageuzi aliingilia kati kumbuka 1995 Mrema alipotikisa nchi yeye akaingilia kati,watu walipodai Tanganyika yao alikataa haya yote ni kwakuwa aliamini Mawazo yake ndiyo sahihi tu,haya yanayotokea muasisi ni yeye, roho inaniuma sana Kwa Serengeti kwenda kutoweka urithi wetu mzanzibari hana anachopoteza tumekaa tu tunashabikia Simba na Yanga aliyetuloga alishatupa funguo baharini
That's the truthIf you isolate yourself, from taking part in political administrations and political processes, don't blame to be ruled by a fool,
nadhani Aristotle aliliona na alishasema hili mapema sana 🐒
Nyerere ana haki ya kulaumiwa na kulaaniwa kwa kila hali kwa sababu ndiye aliyeanzisha kujenga Msingi mbovu Sana wa kiutawala katika nchi hii ya Tanzania.Tusimlaumu sana Nyerere, tangu ameacha madaraka ni takribani miaka 44. Tangu amekufa ni miaka 25. Maana yake tangu ameacha utawala, waliozaliwa ni watu wazima na ndiyo wanayofanya yote haya tunayoona. Mali asili alizoacha ndiyo zinachezewa na kizazi hiki. Ndiyo kizazi kinachodanganywa na akina mwasambwa.
Sasa ni kazi kwenu vijana kubadiri Tanzania. Msikubali kudanganywa na Hawa wanaopewa nusu mkate.
Mkiambiwa andamana maisha magumu, mauaji na kutekwa, hakuna ajira, mnamuachia mbowe na wenzake.
Amka kijana, mabadiriko yanaanza na wewe
Hoja ni kwamba mateso yakija hayachaguiShida ni wenye uwelewa ni wachache kulinganisha na wasoela sasa why utumie nguvu nying kuelimisha weng wasoelewa na ata ukipata madhara kutokana na kuwaelimisha bado hawatoona umuhimu wako wala haja ya kukutetea
Ni vema ukakaa kmy ukalea familia yako na kujenga uchumi wako na familia yako kulko kuwapigania wasothamini mapigano yako na apo ndo tunaanza kuonana wote wajinga
Nyerere ana haki ya kulaumiwa na kulaaniwa kwa kila hali kwa sababu ndiye aliyeanzisha kujenga Msingi mbovu Sana wa kiutawala katika nchi hii ya Tanzania.Kuendelea Kumlaumu Nyerere miaka 30 baadaye ni ujinga na uvivu wa kufikiri.
Nyerere ana haki ya kulaumiwa na kulaaniwa kwa kila hali kwa sababu ndiye aliyeanzisha kujenga Msingi mbovu Sana wa kiutawala katika nchi hii ya Tanzania.
Kuambuka: Nyumba imara daima huanzia kwenye hatua ya ujenzi wa Msingi imara na ulio Bora.
Nyerere ndiye aliyekosea Sana kwa kujenga Msingi mbovu kwa kuiga siasa mbaya Sana za Itikadi ya Ujamaa/ Ukomunisti kutoka kwa marafiki zake China, Urusi (USSR) na Cuba.
Siasa za itikadi ya Ukomunisti ndio tatizo kubwa sana linaloendelea kutusumbua sana hapa Tanzania.
Kwamba ccm wakitoka nchi inasimama na amendeleo yana simama au nchi inafutika kwenye usi wa dunia?CCM imejenga barabara za lami, hospital,shule,vyuo...nyie mtatufanyia nini hadi mtake tuitoe CCM!?..tutawaamini vipi!?