Utamaduni wa Watanzania kudhani masuala ya siasa hayatuhusu utatugharimu sisi na vizazi vyetu

Watanzania walifuatilia siasa 1995,2000,2005,2010,2015... wapinzani ndiyo hawaeleweki,so tumeona bora CCM iendelee
Wewe tetea CCM yako
Kwani kwenye Uzi Kuna sehemu CCM imetajwa?
 
If you isolate yourself, from taking part in political administrations and political processes, don't blame to be ruled by a fool,

nadhani Aristotle aliliona na alishasema hili mapema sana 🐒
 
Tusimlaumu sana Nyerere, tangu ameacha madaraka ni takribani miaka 44. Tangu amekufa ni miaka 25. Maana yake tangu ameacha utawala, waliozaliwa ni watu wazima na ndiyo wanayofanya yote haya tunayoona. Mali asili alizoacha ndiyo zinachezewa na kizazi hiki. Ndiyo kizazi kinachodanganywa na akina mwasambwa.
Sasa ni kazi kwenu vijana kubadiri Tanzania. Msikubali kudanganywa na Hawa wanaopewa nusu mkate.
Mkiambiwa andamana maisha magumu, mauaji na kutekwa, hakuna ajira, mnamuachia mbowe na wenzake.
Amka kijana, mabadiriko yanaanza na wewe
 
Utalaumu soka bure. Watanzania hapa mjini wanashiba mno, si rahisi mtu anayepata chakula na anasehemu ya kulaza ubavu ukamshawishi akapigane na wanasiasa. Akitishiwa kidogo anaona ana la kupoteza.

Hapa mjini kuna sehemu unapata hii kwa Tsh 3000. Siku hii inapotea hili unalolitaka litawezekana kiwepesi mno.
 
Hayo mambo uliyoyataja ni mambo makubwa yanayopaswa kutazamwa na watu wenye akili kubwa.
Tumetoka kwenye komasava sasa tunajadili tarehe 29 ya Yanga na Simba.
 

Kuendelea Kumlaumu Nyerere miaka 30 baadaye ni ujinga na uvivu wa kufikiri.
 
Nyerere ana haki ya kulaumiwa na kulaaniwa kwa kila hali kwa sababu ndiye aliyeanzisha kujenga Msingi mbovu Sana wa kiutawala katika nchi hii ya Tanzania.
Kuambuka: Nyumba imara daima huanzia kwenye hatua ya ujenzi wa Msingi imara na ulio Bora.
 
Shida ni wenye uwelewa ni wachache kulinganisha na wasoela sasa why utumie nguvu nying kuelimisha weng wasoelewa na ata ukipata madhara kutokana na kuwaelimisha bado hawatoona umuhimu wako wala haja ya kukutetea

Ni vema ukakaa kmy ukalea familia yako na kujenga uchumi wako na familia yako kulko kuwapigania wasothamini mapigano yako na apo ndo tunaanza kuonana wote wajinga
 
Hoja ni kwamba mateso yakija hayachagui
 
Kuendelea Kumlaumu Nyerere miaka 30 baadaye ni ujinga na uvivu wa kufikiri.
Nyerere ana haki ya kulaumiwa na kulaaniwa kwa kila hali kwa sababu ndiye aliyeanzisha kujenga Msingi mbovu Sana wa kiutawala katika nchi hii ya Tanzania.
Kuambuka: Nyumba imara daima huanzia kwenye hatua ya ujenzi wa Msingi imara na ulio Bora.
Nyerere ndiye aliyekosea Sana kwa kujenga Msingi mbovu kwa kuiga siasa mbaya Sana za Itikadi ya Ujamaa/ Ukomunisti kutoka kwa marafiki zake China, Urusi (USSR) na Cuba.
Siasa za itikadi ya Ukomunisti ndio tatizo kubwa sana linaloendelea kutusumbua sana hapa Tanzania.
 

Kwahiyo China na Urusi hazijaendelea sababu nao walikua wajamaa?
 
CCM imejenga barabara za lami, hospital,shule,vyuo...nyie mtatufanyia nini hadi mtake tuitoe CCM!?..tutawaamini vipi!?
Kwamba ccm wakitoka nchi inasimama na amendeleo yana simama au nchi inafutika kwenye usi wa dunia?
State some facts bro, nchi inaweza kwenda hata bila ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…