Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Priorities eroo.. kwanza nipate hizo hela, niweke ka-empire kangu ka kishkaji afu ndo nivute dogo mmoja nimuite wife...GuyFromArusha dah umetisha mkuu ila kwanini hauna mpango wa kuoa?
Hehehehhehh! watu km hawa bhna daah!nina miaka kadhaa nimeoa wake kadhaa na nina watoto kadhaa
Mtaambiana hukooo pmHabari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za watu bila kujua.
Binafsi Nina miaka 24 nimeoa na mnamo mwezi wa 7 natarajia kuitwa Baba !.
Habari za wakati huu wapendwa wa Jamii Forums ningependa tutambulishane tuko katika mahusiano gani na tuna watoto wangapi ili kuondoa utata kwa wale wanaovamiana PM na kukurupukia wake au waume za watu bila kujua.
Binafsi Nina miaka 24 nimeoa na mnamo mwezi wa 7 natarajia kuitwa Baba !.