Utambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums

Naitwa ibrahim Msuya nina miaka 22 Natokea Arusha naomba kujua rais wa huku ni nan
 
Nina miaka 28 na nina mtoto mmoja ila sijaoa bado natafuta binti mwenye vigezo ninavyohitaji.
 
Mimi na Mugabe ni Mapacha....kwa sasa nina mchumba!
 
Nina watoto wawili kutoka kwa MAMA tofauti.. Sina mke wala mchumba lakini nina mpenzi ni Member wa Jf na anapatikana Jukwaa la SIASA
 
Nina Miaka 26 Sijaoa Bado Natafuta Hela kwanza ili Niweze kuwa na Familia iliyo Bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…