Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
Naitwa ibrahim Msuya nina miaka 22 Natokea Arusha naomba kujua rais wa huku ni nan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi na umri mheshimiwa.mie nina miaka 64, nina familia, nina tatizo la kukosa hamu ya tendo takatifu,
Sijui nakufananisha na Lemutuz sijui ni ndo mwenyeweNina miaka 55 nina mchumba
Amekwambia hajaolewa sasa unaulizaje kama ni me au ke?Wewe ni KE au ni ME?
Unanisubiri auKuna mtu nasubiri utambulisho wake....
Jitambulishe tuUnanisubiri au
Mmhhhh! [emoji4]Mtu wa makamo, nimeoa....
Hebu mtajeNina watoto wawili kutoka kwa MAMA tofauti.. Sina mke wala mchumba lakini nina mpenzi ni Member wa Jf na anapatikana Jukwaa la SIASA
habari ya Hapa.. Hilo ndio jina lakeHebu mtaje
Mmh hebu muitehabari ya Hapa.. Hilo ndio jina lake
nanKuna mtu nasubiri utambulisho wake....
Wewe
mm nataftaWewe
Nini?mm natafta