Utambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums

Utambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
Rudi hapa
 
Naitwa Paul Ellyson Lugiko

Nimezaliwa tarehe 15/01/1990

Nina umri wa miaka 26

Nipo naishi Wilaya Bariadi Mkoa Mpya wa Simiyu

Sijaoa na wala sina mchumba, msebule wala mkorido sababu jogoo wangu hawifi

Nipo nakufa na utamu wangu kama muwa
[emoji87]
 
Kasheshe!
 
Miaka kadhaa bado minne niitwe mzee.
Wake wawili.
Watoto 9,
From Tarime.
Makazi Dar.
Mengineyo: nategemea kuongeza mke.
 
Nina33yrs mke mmoja sina mtoto na mchepuko mmoja umenizalia watoto 2..
 
mie nina miaka 64, nina familia, nina tatizo la kukosa hamu ya tendo takatifu,
 
Mbona wengine mnapita kimya kimya... Me ntarudi badae
 
Back
Top Bottom