Utambulisho wa mimi member mpya

Utambulisho wa mimi member mpya

Quince de Junio

New Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Habarini za humu jukwaani ndugu zangu.

Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani.

Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu.

Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache zijazo nitawakaribisha kusikiliza moja Kati ya kazi zangu za sanaa nilizokwisha kufanya mpaka sasa.

Nawasilisha 🙏🙏
 
Back
Top Bottom