Utambulisho Wetu: Kila Mtu na Fahari Yake

Utambulisho Wetu: Kila Mtu na Fahari Yake

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Binadamu sisi tuna namna tofauti za kujenga utambulisho. Kila mmoja wetu ana eneo analojivunia nalo, linalomfanya ajisikie fahari hata kama hasemi wazi wazi.

Mwingine ni kuonekana mtu wa familia.
Mwingine kuonekana kasoma sana.
Mwingine kuonekana ana hekima.
Mwingine kuonekana ana maadili.
Mwingine kuonekana mshika dini.
Mwingine kuonekana anakula maisha.
Mwingine kuonekana anasafiri sana.
Mwingine kufahamika alikosomea.
Mwingine kule anakofanyia kazi.
Mwingine kuleta mabadiliko kwenye jamii.
Mwingine ukubwa.
Mwingine kufahamiana na wakubwa.
Mwingine idadi ya vitabu alivyosoma.
Mwingine idadi ya tafiti alizochapisha.
Mwingine idadi ya biashara.
Mwingine idadi ya magari.
Mwingine idadi ya nyumba.

Kila mtu ana namna yake ya kujisuuza. Unachoona hakina maana kwa mwenzio ndio ‘identity’—hapo ndiko ilikolala fahari yake. Muhimu kwenye maisha haya ni kutokupigana vikumbo wala kuingiliana. Tupeane nafasi ya kila mtu kufurahia kile kinachosuuza moyo wake. Tusitiane unyonge. Tusiparamiane.
 
wengine ni kulilia m****u
 
Back
Top Bottom