Utambulisho

Utambulisho

Nawewe ulihitimu mwaka Jana nn??
Kuna swali moja kati ya matatu lilikua linahusu bacteria
Mengine skumbuki vzr maana sinaga ability na spend kukumbuka maswli ya mtihani nlofanya
Aisee...so ushasahau swali LA essay ulilofanya. Hebu nikumbushe ni shule gani umeazimia kusoma advance
 
Sawa, kama ni hivyo inapendeza sana maana lazima matunda ya huo ubusy yatakuwa mazuri
Hahhaha matunda wapi basi. Tunazungusha tu sket mjini hapa hakuna la maana na usawa huu wa anko ndo kabisaa
 
Habari wana jamii forum
Mimi ni new member nilijiunga humu since may 1 ila tu skuweza kutumia vizuri app but now kidogo nna uelewa jinsi ya kulog in, kuanzisha na kujibu threads.
Ningependa ushirikiano wenu as great thinkers.
Naombeni mnipokee mdogo wenu

SHUKRAN
Tu PM sie wakongwe tukujuze.
 
Back
Top Bottom