Utambulisho

Utambulisho

Ahaaaaa but
Jamani umeshindwa kuielewa sentence ndogo hiyo?Kwamba mitandao hii huwa si mizuri sn hasa Kwa binti mdogo kama ww,na ukizingatia bado Una Safari ndefu sn kimasomo.
People are very destructive here in social medias.Huoni ni hatariiiiii?
Ahaaaa but mimi ni binti ninaejielewa na najua nini nafanya bt thank u for your advice
 
Unadhani

Matatizo bado ni mengi tu katika sekta zote hapa nchini but kaka ang hata nikisema kifanyike hiki na hiki itakua ni kazi Bure kwani mpaka sasa wasomi ni wwngi lakini hata serikali inatambua Matatizo hayo ila imeyafumbia macho
In short nasoma nipate ujuzi hata wa Kuja kujiajiri hapo mbeleni ili niisaidie Familia yang
Na kusoma PCB Sio lazima Uje kua daktari au kufanya kazi sekta ya afya
Sijui nikuchane au nikuonee huruma. Nilitaka kupima ugreat thinker wako. Badala ya kujibu swali naona umekwepa kwepa kama mshale. Utaweza kweli PCB? Wapi nimesema unataka uwe daktari? Ila niliassume ukifika chuo utaendelea na masomo ya afya. Ndio maana nikainclude kiujumla sekta ya afya maana najua kuna normal doctors, surgeon, pharmacists etc.

Unasema wasomi wengi wameshindwa kubadili kitu! Je wewe unataka serikali ikulipie ada au ikupe boom usome halafu usisaidie kitu chochote? Kwahiyo unaenda kuchezea kodi ya wanachi tu huko form 5 na vyuo?
 
Sina maana hiyo but samahan myb nimejibu kwa kukurupuka bt ndio napenda Kuja kufanya kazi sekta ya afya mungu akijaalia na napenda pia Kuja kusaidia wananchi japo hayo mengine ni mbeleni na anything can happen around the way so ni hivyo tu
Ila shukran sana maana umeweza kukifungua kichwa changu
Shukran
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usije ukalia bure nilikua nakukaribisha tu
 
Daaaahhhh mkuu sio kwa ukaribisho huo nusu nilie ila shukran cause napenda challenge kama hizo
Shukran mkuu
Ila napenda kujua wewe unafanya kazi sekta ya afya au??
 
Back
Top Bottom