Rosey Berry
Member
- May 1, 2018
- 62
- 48
- Thread starter
-
- #101
Daaaahhhh bora kaka Mwifwa kwa kunisaidia maana unamjudge mtu halafu na wewe unarudia kosa lilelileUnatatua kosa kwa kufanya kosa......
Nipo, habari za kupotea humu jamviniHahahaa upo mkaka
Safi tu. Ubzy kidogo tu myNipo, habari za kupotea humu jamvini
Sawa, kama ni hivyo inapendeza sana maana lazima matunda ya huo ubusy yatakuwa mazuriSafi tu. Ubzy kidogo tu my
Aisee...so ushasahau swali LA essay ulilofanya. Hebu nikumbushe ni shule gani umeazimia kusoma advanceNawewe ulihitimu mwaka Jana nn??
Kuna swali moja kati ya matatu lilikua linahusu bacteria
Mengine skumbuki vzr maana sinaga ability na spend kukumbuka maswli ya mtihani nlofanya
Hahhaha matunda wapi basi. Tunazungusha tu sket mjini hapa hakuna la maana na usawa huu wa anko ndo kabisaaSawa, kama ni hivyo inapendeza sana maana lazima matunda ya huo ubusy yatakuwa mazuri
Mwenda bure si mkaa bure huenda akaokota.Hahhaha matunda wapi basi. Tunazungusha tu sket mjini hapa hakuna la maana na usawa huu wa anko ndo kabisaa
Ulishajua kwenda PM??Mgeni karibu
Muda tuu mbonaUlishajua kwenda PM??
Kama kuna faida au hasara muelezee mgeni.Muda tuu mbona
Tu PM sie wakongwe tukujuze.Habari wana jamii forum
Mimi ni new member nilijiunga humu since may 1 ila tu skuweza kutumia vizuri app but now kidogo nna uelewa jinsi ya kulog in, kuanzisha na kujibu threads.
Ningependa ushirikiano wenu as great thinkers.
Naombeni mnipokee mdogo wenu
SHUKRAN
AsanteKaribu mwanafunzi mwenzangu
ShukranKaribu sana JF binti ufaidi JF....
Nmeku-PM tyr ushaona?Siijui nielekeze
Wa kimawazo nk