Utambulisho

Utambulisho

Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
Karibu sana naitwa Castr ni mwalimu wa kiingereza na kiswahili. Sijui mwenzangu unajishughulisha na nini?
 
Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
Karibu mgeni sebulen hadi chumbani ,
 
Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
 
Ukiwa na shida unapaswa kuniona Mimi kwanza huku ukituma nayakutolea afu nami bila hiyana nskusaidia kabisa
 
Kumbe sawa ila sidhan kma nitakua nayo hyo ya kutuma na kutolea.
 
Back
Top Bottom