Utambulisho

Utambulisho

MalaikaMweupe

Member
Joined
Feb 24, 2009
Posts
72
Reaction score
18
Hodi wana JF?

Kwanza habari zenu?
Naomba mnipokee katika Forum hii ya jamaa.
Ni mimi Malaika mweupe.
 
Karibu sana malaika,toa na sisi tukupe,mwisho wote tunafaidika na jf.
 
Karibu sana Malaika, Malaika ni watu wa vyoda vyoda tu (wingi wa soda) ha ha ha ha maana kilevi hawagusi. Haya humo kwenye frigde kuna fanta, mirinda na coke na pia orange juice chukua chochote kinachokuvutia pia hapo kwenye kabati kuna sambusa na kababu jichane kadri ya uwezo wako ha ha ha ha. Karibu sana jamvini 🙂
 
Tunategemea una hoja nzuri kabisa zilizokusukuma uje jf. Unakaribishwa sana
 
we malaika unatoka jimbo gani huko mbinguni? au ndo wale waliokuja na yule mshkaji alipotaka kumpindua bosi wake?
 
Karibu sana malaika mweupe, ingia mpaka ndani na ujisikie uko nyumbani. Tunaimani utamapa mengi mazuri humu ndani na pia sie twategemea mazuri mengi toka kwako! JF - Where We Dare to Talk Openly!!
 
Karibu sana Malaika, Malaika ni watu wa vyoda vyoda tu (wingi wa soda) ha ha ha ha maana kilevi hawagusi. Haya humo kwenye frigde kuna fanta, mirinda na coke na pia orange juice chukua chochote kinachokuvutia pia hapo kwenye kabati kuna sambusa na kababu jichane kadri ya uwezo wako ha ha ha ha. Karibu sana jamvini 🙂

BAK labda malaika anapenda kilevi? kuna friji lina kilevi. Mpe mafriji yote, yeye achaguwe.
Karibu sana malaika.
 
nami nimekuja
usijivunge dogo
endelea kutembelea JF kisha tunapenda sana kusoma post zako ktk kuchangia au kuibua mada
jisikie upo karibu. Ila humu kuna waume kwa wake bila kumsahau robot kiboko kweli huyo
 
Back
Top Bottom