nesty hustler
New Member
- Jan 30, 2024
- 3
- 3
Muhimu⚒️Sawa Asante ndugu15m sio mbaya
Asante kwa mchango 🤝Anzia TRA wakakupige kwanza then wakupe Tax Clearance uipeleke Halmashauri huko wakupe leseni yao baada ya wao pia washakupiga hela za kutosha.
Karibu kwenye ujasiliamali.
Asante kwa mchangoAngalia mahitaji ya eneo ulipo wanahitaji hasa vifaa gan kuhusu mtaji ata kama ukiwa na 2m inatisha kuanzia ukiwa na hela nunua vtu Kwa katoni mfn switches,lamp holder,metal /surface box
Nichukulie na mimi...Ngoja nichukue madini hapa
Nikuletee wapi bossNichukulie na mimi...
Hapa hapa pa siku zoteNikuletee wapi boss
noted bossHapa hapa pa siku zote
Umeanza lini kuniita hivyo...noted boss
nisamehe mimiUmeanza lini kuniita hivyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisamehe mimi
muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]