nesty hustler
New Member
- Jan 30, 2024
- 3
- 3
Habari wapendwa,
Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya cheti level three(III) 2023.
Lengo la kuandika makala hii ni kuhitaji kufahamu je ni vitu gani natakiwa kufanya au kuzingatia ikiwa nahitaji kufungua biashara ya vifaa vya umeme,(electrical and electronics devices).

Muhimu⚒️- Mtaji
- Uapatikanaji wa leseni ya biashara
- Uapatikanaji wa vifaa kwa bei ya jumla
- Uendeshaji wa biashara,