Habari wadau
Ukweli ni kwamba miaka mia moja nyuma hatukuwepo na baada ya miaka mia moja mbele hatutakuwepo (so sad[emoji24][emoji24])
"Kila nafsi lazima ionje kifo"[emoji24][emoji24]
Sasa je utamiss kitu gani baada ya kuondoka katika huu ulimwengu?
Binafsi mimi nitamiss nyama ya kukaanga
View attachment 1900077