Utamiss nini duniani baada ya kuondoka kwako?

Utamiss nini duniani baada ya kuondoka kwako?

Habari wadau

Ukweli ni kwamba miaka mia moja nyuma hatukuwepo na baada ya miaka mia moja mbele hatutakuwepo (so sad[emoji24][emoji24])

"Kila nafsi lazima ionje kifo"[emoji24][emoji24]

Sasa je utamiss kitu gani baada ya kuondoka katika huu ulimwengu?

Binafsi mimi nitamiss nyama ya kukaangaView attachment 1900077
Utajua hujui
IMG-20210821-WA0073.jpg
 
Back
Top Bottom