Utamiss nini duniani baada ya kuondoka kwako?

Utamiss nini duniani baada ya kuondoka kwako?

Mie ni Mbususu tu kwakweli, Nazipenda mnoo ila basi tu Inashindikana kuwa nayo muda wote ila nitakapopata pesa nyingi nitakuwa nalala na mbususu mbili pembeni nimezishika tu yaanj nainjoigi kweli tena kama Inanywele nywelee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Habari wadau

Ukweli ni kwamba miaka mia moja nyuma hatukuwepo na baada ya miaka mia moja mbele hatutakuwepo (so sad[emoji24][emoji24])

"Kila nafsi lazima ionje kifo"[emoji24][emoji24]

Sasa je utamiss kitu gani baada ya kuondoka katika huu ulimwengu?

Binafsi mimi nitamiss nyama ya kukaangaView attachment 1900077
Mimi Maku na Nyero.
 
Hivi vitu nitanvimiss asee[emoji134]

1. Kitimoto

2. Robertson wine, Heineken

3. Kudrive masafaa

4. Sex

5. Kukata gogo

6.music

7.umbea

Daaaah nisife jomoni[emoji848]
 
Hivi vitu nitanvimiss asee[emoji134]

1. Kitimoto

2. Robertson wine, Heineken

3. Kudrive masafaa

4. Sex

5. Kukata gogo

6.music

7.umbea

Daaaah nisife jomoni[emoji848]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
We can't live forever
 
Maisha ya Dunia ni mapito tuu. Mema yako ya akhera ndio utabaki nayo milele.. Maovu yako ndio utadumu nayo milele..

Cha kumiss duniani kitaarishe kikusubiri kwenye safari yako huko utakapo kutana na Mola wako Mwenyezi..

Wivu, fitna, majungu na ushirikina hivi tuta vimiss sana..
 
Back
Top Bottom