Utamiss nini duniani baada ya kuondoka kwako?

Utamiss nini duniani baada ya kuondoka kwako?

😊
RDT_20210821_1238162548087859012708509.png
 
Maisha ya Dunia ni mapito tuu. Mema yako ya akhera ndio utabaki nayo milele.. Maovu yako ndio utadumu nayo milele..

Cha kumiss duniani kitaarishe kikusubiri kwenye safari yako huko utakapo kutana na Mola wako Mwenyezi..

Wivu, fitna, majungu na ushirikina hivi tuta vimiss sana..
Ahsante for your best, fact comment
 
Hivi vitu nitanvimiss asee[emoji134]

1. Kitimoto

2. Robertson wine, Heineken

3. Kudrive masafaa

4. Sex

5. Kukata gogo

6.music

7.umbea

Daaaah nisife jomoni[emoji848]
Mkuu nikiwa naenda mikoa ntakutafuta. Kudrive huwa kunanichosha tutapokezana.
 
Kwa sasa ngoja tuendelee kuishi na kayafurahia maisha haya ambayo baadae tutayamiss.

Lets enjoy this moment
 
Nitamiss makato ya simu na Kodi ya Majengo introduced by maza mjengo samia
 
Kwa sasa ngoja tuendelee kuishi na kayafurahia maisha haya ambayo baadae tutayamiss.

Lets enjoy this moment
Kweli mkuu, ila tozo hizi zinaharibu furaha yenyewe
 
Back
Top Bottom