Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya kubadilishia mboga.
Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu hivi "mapenzi sio mpira nitoe pass halafu inirudie mimi mwenyewe"
Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu hivi "mapenzi sio mpira nitoe pass halafu inirudie mimi mwenyewe"