Utamjibu vipi Ex wako anayetaka mrudiane baada ya wewe kuyapatia maisha?

umeuliza na umejibu mwenyewe.Wacha mi nipite tu
 
Hili nalo la kutaka ushauri? Kama wakati huna kitu kakupiga chini ni jibu tosha la mustakabali wa mahusiano yenu,huyo ni kicheche hakufai.
 
Kama alikua mtam we 'jidai' umemsamehe ila mfanye 'spare tyre' siku ukiwa na njaa unajipigia huku ukiendelea na mipango yako na demu wa sasa.
 
Vuta mbunye chakata ila hamna kumpa attention. Akilalamika unamla kisha unaendelea na mambo yako yani mgeuze kiwanja cha mazoezi tu
 
"Ni marufuku kurudia matapishi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…