Jukwaa gani hili mkuu?natumai hamjambo.
wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje??
#mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako?
#baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako??
tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.
Mtoto mwenye kuyaona hayo wazazi walisha mess up somwhere.natumai hamjambo.
wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje??
#mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako?
#baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala si type yako??
tiririkeni kama wazazi na wala si kama mateja.
Jukwaa gani hili mkuu?